Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Watumishi wa umma meshaanza kumkumbuka Jiwe? Kuna nyakati alikuwa akilipa mishahara yenu mpaka tarehe 19.

Vipi zama hizi? Maana naona vilio ni vingi huku
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
 
Ingekuwa mwezi umekwisha angekuwa na haki ya kupigania sasa hata mwezi haujaisha.
Ninavyojua mimi mishahara serikalini inatolewa on monthly basis on arrears
Kwamba unafanya kazi kwanza ndio unakuja kulipwa mwisho wa mwezi
Kwa uelewa wako mdogo umekalisha mbupu zako hapo unawaza mwisho wa mwezi ni lazima iwe tarehe 30. Serikali imelipa mishahara ya mwezi Mei 2024 tarehe 21, maana yake kufika tarehe 21 Juni 2024 tayari tumeshatumikia mwezi wa kulipwa! Kitendo cha hadi tarehe 24 Leo mshahara haujatoka ni sabotage kwa watumishi. Hivi unajua hata mwaka wa fedha wa serikali unaanzaga mwezi gani na kuisha mwezi gani we maamuma?
 
Back
Top Bottom