Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?Watumishi wa umma meshaanza kumkumbuka Jiwe? Kuna nyakati alikuwa akilipa mishahara yenu mpaka tarehe 19.
Vipi zama hizi? Maana naona vilio ni vingi huku
Lakini hakuna taarifa official, kwahiyo siku hizi taarifa za serikali zinatokea JF? Bora hata nilivojiajiri, watumishi wana magumu sana 😃Niliona bandiko humu kuwa sasa utakuwa unatoka kati ya 28-30 ya kila mwezi
Kwani huaga iyo mishahara yao inatokeaga Tarehe ngapi.Niliona bandiko humu kuwa sasa utakuwa unatoka kati ya 28-30 ya kila mwezi
Walioitwa mashetani ilikua sawa, walioitwa majipu ilikua ni unyama tu?Binadamu hawezi kua mbwa, tusipoteze Utanzania wetu wa kupendana na kuheshimiana
Sasa mbona mnalialia kulipwa mshahara?Hata watumishi wasipolipwa mishahara milele hawawezi kumkumbuka huyo mbwa...
Kulipa tar 19 siyo sifa because malipp yale ni ya full monthWatumishi wa umma meshaanza kumkumbuka Jiwe? Kuna nyakati alikuwa akilipa mishahara yenu mpaka tarehe 19.
Vipi zama hizi? Maana naona vilio ni vingi huku
Mama yupo kazini..Watumishi wa umma meshaanza kumkumbuka Jiwe? Kuna nyakati alikuwa akilipa mishahara yenu mpaka tarehe 19.
Vipi zama hizi? Maana naona vilio ni vingi huku
wewe bibi kweli una mashetani, mwisho wa mwezi kwa mtumishi wa serikali anayelipwa kila tarehe 22 ni upiKama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?
Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Mwisho wa mwaka.....wa Serikali wanafunga mahesabuWatumishi wa umma meshaanza kumkumbuka Jiwe? Kuna nyakati alikuwa akilipa mishahara yenu mpaka tarehe 19.
Vipi zama hizi? Maana naona vilio ni vingi huku
Huyo hana mshahara ana posho ya buku 7 nayo ni mpaka aandike nyuzi zakusifia na azitume kwa mwenezi wa chamaLucas Mwashambwa wewe mshahara wako tayari? Mbona umeuchuna😎
Sitaki maneno ya uchonganishiHuyo hana mshara ana posho ya buku 7 nayo ni mpaka aandike nyuzi zakusifia na azitume kwa mwenezi wa chama
Ajuza unamtetea mwenzao katika Imani huna lolote. Wewe tunajua huwezi kufikili nje ya diniKama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?
Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Shauri yako. Unakimbilia shida.Sitaki maneno ya uchonganishi
Kwa uelewa wako mdogo umekalisha mbupu zako hapo unawaza mwisho wa mwezi ni lazima iwe tarehe 30. Serikali imelipa mishahara ya mwezi Mei 2024 tarehe 21, maana yake kufika tarehe 21 Juni 2024 tayari tumeshatumikia mwezi wa kulipwa! Kitendo cha hadi tarehe 24 Leo mshahara haujatoka ni sabotage kwa watumishi. Hivi unajua hata mwaka wa fedha wa serikali unaanzaga mwezi gani na kuisha mwezi gani we maamuma?Ingekuwa mwezi umekwisha angekuwa na haki ya kupigania sasa hata mwezi haujaisha.
Ninavyojua mimi mishahara serikalini inatolewa on monthly basis on arrears
Kwamba unafanya kazi kwanza ndio unakuja kulipwa mwisho wa mwezi
Nilikua nakuona mtu wa maana kumbe ni ComedianShauri yako. Unakimbilia shida.