Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

Umeona mbali. !!
Lakini unaowaasa sidhani kama watakuelewa !!
 
Wanajua changamoto hizi zimesababishwa na serikali hii ila serikali ya Magufuli wanaikubali.
 
CCM waache kusafirisha wananchi ili kujaza mikutano
 
Taifa limegawanyika tusipuuze

Walioligawa ni nani

Tuanzie hapo
 
Kwakifupi kuna mambo mengi kwenye kizazi cha sasa wanasayansi wanafanya na Hayo ndio matokeo.
Watoto wa sikuhizi wanafanya vitu vya ajabu hadi unashangaa na huwezi kumkanya au kumulekebisha hata anapokosea.
Na bado tunasubiri msaada toka India kumodify watoto
 
lakini inafahamika kua kuna watu na viatu humu duniani,
Na hili ndilo dhihirisho lake,
Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe......
 
Ni vibaya sana kushangilia kifo cha binadamu mwenzio lakini uchawa ni kero kwa Taifa!
Nimesoma kwa X ya akaunti ya Millard Ayo, kile kiwango cha chuki kwa chama tawala si cha nchi hii. Yaani watu watamani ile Hiace ingondoka na safu ya juu ya uongozi wa chama tawala. Level ya mgawanyiko na chuki si ya kiwango kidogo. Kuna mahali watawala wanatakiwa kuweka sawa mambo, tulipofikia ni pabaya sana.
 
Ndugu yangu wala usichukie, anachopaswa kujua ni kwamba mwanadamu ana asili ya kukinai kitu. Kwa dhahiri kabisa Ccm imewakinai vya kutosha. Sababu ndizo zitafutwe ingawa pengine haki yaweza kuwa miongoni.
 
Walikuwa wanaenda wapi kwanza tuanzie hapo, si walikuwa wanaenda kushangalia wengine tukinyanyaswa kwenye nchi yetu na tumekuwa watumwa ? Wafike salama huko walikojiandalia walipokuwa hai hapa duniani.
 
Watu watakua shida. Binaadam tinamu hawezi akawa na akili za namna hii.
Sudhani kama taifa lumefika sehemu yoyote mbaya kwa watu wa aina hii, maana wajunga ni sehemy ya watu ndanu ya jamii zetu, hivyo ni wendawazimu wachache sema matendo yao yanapewa nguvu na mitandao
 
Hahahahahah tupo utumwani ndio maana watu wanashangilia haiwezekani mwarabu achukue ardhi yetu milele halafu watu wafurahi angalia huyu mama anakwenda kuomba msamaha hapa TEC noma
Hapo mama anawachora tu na kuwauliza, haya makaratasi yenu mliyoandika na kujigamba nayo yamesaidia nini? DPW wameshaanza kazi na mambo yanaenda vizuriiiii
Piga kazi mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…