Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze


Hizo ni conspiracy theories tu. Reality is elimu na malezi vimefeli
Angalia idadi ya mmomonyoko wa maadili umeketwa na uatandawazi, halaf serikali dont care, elimu nayo imechangia.

Hakuna uchawi hapa, tumefeli wenyewe
 

Ile hate ni result ya matendo yao. And they know it but the dont care
Na result ya kutokujali itafanya hate izidi kuongezeka kiasi kwamba tutafikia level ya kuwindana
 
Mbona CCM waloshangalia Lissu alipopigwa risasi. Tena wengine walikebehi kuwa kwanini hakufa, wakalaumu wapiga risasi. Ungeanza na hao kwanza. Tusiwe wanafiki Bali wakweli.
Hapo ndipo tulipofikia kwa sasa !!
Sisi wahenga tunashangaa na kubaki tumeduwaa !
Tunajiuliza tumefikaje hapa ??!!
 
Taarifa kama hizi huwezi kumuona Lucas mwashambwa akizileta humu jukwaani, au hata kutoa tu pole kwa wafiwa na majeruhi wa hiyo ajali!

Ila akishiba tu magimbi yake, utamkuta anakuja na zile mada zake za Rais Samia akata kiu ya Watanzania!! Rais Samia aitetemesha kwa furaha mioyo ya Watanzania!! Hakika huyu kijana ni bure kabisa. Maana kama ni UCHAWA tu na kujikomba komba, amepitiliza aisee.

All in all, natoa pole kwa wafiwa, na pia nawaombea majeruhi wapone haraka ili tuendelee kupambana na maisha.
 
Kufurahia kifo cha wana ccm ni baraka na utukufu kwa Mungu.

Shida zote tulizonazo ni matokeo ya uwepo wa ccm na wanaccm.
 
[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia mda wako kutafakari wala si kuchukizwa, tafakari kwanin tumefikia hapa wala si kutangaza chukizo lililokukumba
 
Kama hawakuchukizwa kushambuliwa na kuuawa akina Mawazo, Akwilina, Mwangosi na wengine wengi kwanini wasishangilie hili.
 
Pale siasa inapokosa utu linaingia tatizo lingine.
 
Pole
 
Haya mambo alianzisha
Nani haikuwa hv kipindi watawala wa kikwete kwenda nyuma
Hii iliannza na jamaamwenda zake
 
Hiyo ndio picha halisi ya chuki dhidi ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…