bestchoicetz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2023
- 383
- 875
Nilipoona picha hii kwa mara ya kwanza, niliamini ni miwani/mawani ndiyo yananidanganya kuwa hii ni "mifugo" inapandishwa kwenye lori tayari kupelekwa mmadani!
Kama "mbuzi" wanaosubiri kupelekwa mnadani "maili mbili - Dodoma" miaka ile ya tisini!
Ni punguani tu asiyeweza kufungamanisha uhusika wa CCM na matatizo tuliyonayo.Octoba 12 nikiwa Sumbawanga maeneo ya stend ya mabasi nasubiria gari ya kwenda Mpanda nilikutana na kisanga kilichonishangaza kama Mwandishi. Siku hiyo Katibu Mkuu CCM alikuwa anahutubia Mkutano wa hadhara uwanja wa Nelson Mandela. Baada ya kuona wahudhuriaji watakuwa wachache ukafanyika mpango Vijana wa stendi wavalishwe T-Shirt za kijani. Wiokubali walipewa 5000 yao na kuahidiwa Mkutano unaanza saa 7 na kuisha SAA 10 wataendelea na shughuli zào. Kilichonishangaza ni pale waliporejea majira ya saa 10:30 jioni wenzao waliowaacha stendi wakaanza kuwazomea wakiwaita "WAUZA BANDARI". Hadi naondoka na basi la Princess J saa 11 jioni kuelekea Mpanda, hakukuwa na kijana hata mmoja aliyebaki na t-shirt ya kijani.
Akili yangu ikanituma kuamini,
Watanzania wamefungamanisha matatizo yao ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na pengine hata kimichezo na uCCM.
Hivi kweli kuna Mtanzania timamu ambaye hajui kwa nini tumefika hapa!!??Tumia mda wako kutafakari wala si kuchukizwa, tafakari kwanin tumefikia hapa wala si kutangaza chukizo lililokukumba
😆😆😆Nilipoona picha hii kwa mara ya kwanza, niliamini ni miwani/mawani ndiyo yananidanganya kuwa hii ni "mifugo" inapandishwa kwenye lori tayari kupelekwa mmadani!
Ni mpaka pale nilipoona video yake hawa "binadamu" wakilalamika kuwa wapewe hela yao waliyohaidiwa kwanza kabla ya kupanda hilo lori, ndipo nilipoamini kuwa utumwa bado upo na kuwa "miwani" yangu haina shida.
Naamini wanasiasa wetu hasa kutoka CCM wanatudharau sana wananchi, na wanatoa kauli zisizo na utu hata kidogo. Haya ndiyo matokeo ya uongozi usiojali na wenye kujaa jeuri.Ni vizuri kukumbushana haya muda huu msiba ukiwa umetokea, lakini ni vizuri zaidi kukumbushana kukemea viongozi wa CCM wanapotoa kauli za ubaguzi wa kisiasa kwani ndizo chanzo cha haya. Mfano, wakati jiwe anaeleza waziwazi majukwaani kuwa hawezi kupeleka huduma maeneo/majimbo yaliyochagua wapinzani, wewe mtoa mada uliwahi kukemea, au kupinga kauli hizo?
Hilo haliwezi kuhalalisha watu kufurahia vifo vya watanzania wenzao. Viongozi wanaliingiza taifa hilo kwenye dimbwi lililojaa tope.Mbona CCM waloshangalia Lissu alipopigwa risasi. Tena wengine walikebehi kuwa kwanini hakufa, wakalaumu wapiga risasi. Ungeanza na hao kwanza. Tusiwe wanafiki Bali wakweli.
"Kuna mahali watawala wanatakiwa kuweka sawa mambo, tulipofikia ni pabaya sana"Nimesoma kwa X ya akaunti ya Millard Ayo, kile kiwango cha chuki kwa chama tawala si cha nchi hii. Yaani watu watamani ile Hiace ingondoka na safu ya juu ya uongozi wa chama tawala. Level ya mgawanyiko na chuki si ya kiwango kidogo. Kuna mahali watawala wanatakiwa kuweka sawa mambo, tulipofikia ni pabaya sana.
Bora hayo madhara take tu, kwani madhara ya Sasa ya kuwa na chawa Kila Kona huyaoni?Naamini wanasiasa wetu hasa kutoka CCM wanatudharau sana wananchi, na wanatoa kauli zisizo na utu hata kidogo. Haya ndiyo matokeo ya uongozi usiojali na wenye kujaa jeuri.
Ila hatupaswi kufikia hatua ya kufurahia vifo vya watanzania wenzetu kwa sababu ya itikadi zetu. Ni ukosefu wa utu uliopitiliza, ni dalili za kukata tamaa, ni hatari kweli kweli, ni bomu linalosubiri kuondolewa safety pin tu lilete madhara yasiyo na kikomo.
Hivi vihuruma vya kitanzania ndiyo vinatukosti...Hali iliyofikia inatakiwa tuwe kwenye mode ya vita ni vita Mura.Hilo haliwezi kuhalalisha watu kufurahia vifo vya watanzania wenzao. Viongozi wanaliingiza taifa hilo kwenye dimbwi lililojaa tope.
Jina "wapuuzi" ndiyo umefika muda wa kupokezana.Bado kuchapana makofi tu.Alipocharazwa Lissu mlitaka kila mmoja asikitike
Nyie ni wapuuzi
Ninakubaliana nawe katika yote uliyoeleza hapa. "Utu/ubinaadam" unapotea miongoni mwetu.Naamini wanasiasa wetu hasa kutoka CCM wanatudharau sana wananchi, na wanatoa kauli zisizo na utu hata kidogo. Haya ndiyo matokeo ya uongozi usiojali na wenye kujaa jeuri.
Ila hatupaswi kufikia hatua ya kufurahia vifo vya watanzania wenzetu kwa sababu ya itikadi zetu. Ni ukosefu wa utu uliopitiliza, ni dalili za kukata tamaa, ni hatari kweli kweli, ni bomu linalosubiri kuondolewa safety pin tu lilete madhara yasiyo na kikomo.
Mkianza kujadiri WANAWACHEKA MAREHEM bila kujua WHY MAREHEM WANACHEKWA sitoshangaa MAREHEM WAKICHEKWA ZAIDTumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Nakumbuka miaka ya 2000.bbc waliwahi kusema kua, wanasayansi wanapambana kutengeneza kizazi kisichotawalika.
Wakati kikwete anatoka madarakani hotuba yake ya wizara ya afya aliisifia kwa kusema, idara ya afya imefanikiwa pakubwa..na kati ya watoto 500 waliofanyiwa umajalibia matokeo ni mazuri.lakini hawajasema ni majalibio gani ya yaliofanywa hadi yakawa mazuri.
Kwakifupi kuna mambo mengi kwenye kizazi cha sasa wanasayansi wanafanya na Hayo ndio matokeo.
Watoto wa sikuhizi wanafanya vitu vya ajabu hadi unashangaa na huwezi kumkanya au kumulekebisha hata anapokosea.
Itafikia hata usipomnunulia soda mtoto wa leo atakuchukia kiasi kwamba hata ukifa hasikitiki kwasababu ya kitu kidogo sana.
Hivyo hata ufanye nini kizazi cha aina hii cha kutengeneza maabala hakiwezi kutawalika, tunaenda kwenye Ulimwengu wa matatizo yasiokua na mwisho.
Dini zilikuja kwa nia njema kabisa, lakini baadaye zikaingiliwa na wale wenye nia ovu za kupata madaraka kwa njia yeyote ile !!Dini ni upuuzi,imeharibu uwezo na akili za mwanadamu. I wish dini zisiwepo ulimwenguni.