Hizo ni siri za Kambi, huwezi kuzipata UraianiHao jamaa sijui kwa nini hawabadiliki miaka na miaka mimi nilitegemea miaka 60 ya uhuru watuoneshe namna watakavyozibiti shambulizi la drone za kusafirisha mabomu kama zile zilizokuwa zikitunguliwa na Israel kutokea Iran.
Acheni kubeba mizigo kama makuli,jikiteni kwenye teknolojia,waambieni viongozi wenu wa kijeshi na kisiasa kuwa vita vya kisasa ni vya kiteknolojia.Wawekeze zaidi kwenye teknolojia kwa kuanzisha vituo vya ugunduzi na utafiti.Zingatia ushauri wangu, jikite kwenye maziwa. Ukitaka kufahamu usianze kwa lawama na dharau.
Ungemsahihisha hapo alipoandika "mda"Nakushauli β
Nakushauri β
Hatuna adui wa namna hiyo sisi.Hao jamaa sijui kwa nini hawabadiliki miaka na miaka mimi nilitegemea miaka 60 ya uhuru watuoneshe namna watakavyozibiti shambulizi la drone za kusafirisha mabomu kama zile zilizokuwa zikitunguliwa na Israel kutokea Iran.
Vita ya tatu ya dunia haitangalia umbali wa nchi na nchi bali itaangalia unafungamana na upande gani. Kwa hiyo usishangae Tanzania inachapika kutokea mashariki ya kati.Hatuna adui wa namna hiyo sisi.
Nani hapa Africa tuingie nae uhasama kiasi kwamba atutumie hizo drones??
Hao magiants sisi ni vibaraka wao, wakija hapa tunawapigia magoti na kuwaomba misaada.
Hawa majirani nao hali jojo kama sisi tu.
Tutasaidiwa na upande tuliopo.Vita ya tatu ya dunia haitangalia umbali wa nchi na nchi bali itaangalia unafungamana na upande gani. Kwa hiyo usishangae Tanzania inachapika kutokea mashariki ya kati.
Halafu kwenye maadhimisho kama haya tuje tuwaoneshe hadharani namna tulivyoendelea kijeshi?Acheni kubeba mizigo kama makuli,jikiteni kwenye teknolojia,waambieni viongozi wenu wa kijeshi na kisiasa kuwa vita vya kisasa ni vya kiteknolojia.Wawekeze zaidi kwenye teknolojia kwa kuanzisha vituo vya ugunduzi na utafiti.
HakikaNimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Aaah wapi....nakumbuka kuna tukio lilitokea India kuna pilot wa kihindi nadhani jina ni Abhinandan akiwa tu Mig 21 aliweza kuipiga F-16 ya Pakistan ni fighter 2 zenye kizazi tofauti kabisa ila fighting iliamuliwa na ubora wa rubani.
Hawatumiagi akili, hawa, hakuna maandalizi, ni kuchukua mafurushi ya mwaka Jana na kubeba tu!Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Wangewepo Russia/Ukrain kule kwisha hawa vitaa vya sasa mwana yupo nyumbani anatuma kadrone kanakuvuruga wote.Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Ukomavu huu wakingese kabisa wakija wale wakoloni kutaka kutufanya watumwa tena itakuwa kazi ndogo kwao. Tunahitaji kuwekeza kwenye mbinu mpya hata uwe na kachupi unaweza fanya maangamizi sio kubeba mizigo kama watalii wa kizungu wa miaka ya 90βs.Lengo la onyesho husika ni ukakamavu! Sifa muhimu kwa askari ni ukakamavu na ustahimilivu!
Nilisikiliza kdg ambapo, mshereheshaji alieleza kuwa, wamebeba zana zenye zaidi ya kilo 70 ambazo zinamwezesha kutekeleza majukumu yake kwa siku 30 bila kuhitaji msaada wowote!
Cant u give credit to that!
Tujifunze kuthamini vya kwetu. Wenyewe ambao ndio wahusika wanaelewa mazingira yao ya kazi hivyo wanatoa mafunzo kulingana na mahitaji yao, ila sisi tulio nje tunataka kuonekana ni bora kuliko wahusika!
Sasa 'kamanda' kama unajua kwa nini uruhusu upotoshwaji na vitendawili kuhusu kubebwa mawe kwenye macho ya dunia?Wanajeshi wenyewe tunaelewa nini maana yake, we endelea kucheza hui mwaka hee!
Kwa nini mkuu ucheke?Nimejikuta nacheka