Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Hahahaha na wauza madafu watahusika.... Lazima washinde...Watapigika vibaya sana hawa. Kama wahuni wa M23 tu wa hapo Congo wanawafyeka, Somalia watawamaliza.
Chezea jeshi la mama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha na wauza madafu watahusika.... Lazima washinde...Watapigika vibaya sana hawa. Kama wahuni wa M23 tu wa hapo Congo wanawafyeka, Somalia watawamaliza.
Wanasiasa wana wana tuangusha kila sector kuanzia Elimu, Afya mpaka huko Jeshini.Niseme tu ukweli mimi nipo hapa 44 KJ Mbalizi wanasiasa ndio wanatuangusha sana Askari.Hata ndege vita tulizonazo pale airbase ya kizuka ni aibu
Mbaya zaidi tunajuiona imara, hatuna mikakati ya Kuwekeza in the future.HAha jf raha sana.
Ukweli ni kwamba hatujawekeza kwenye jeshi letu.
Tuna zana duni sana.
Ninayesema nawe niko jikoni huwezi nidanganya
Sasa hapo kuna ambae tunafanana nae kwa chochote??Unaona hizi akili finyu sasa?? Marekani alikuwa anapigana na Iraq, wako bara moja?
Kila siku wana fanya maziara huko sijui wanajifunza nn.Wenzetu nje wame-advance kwenye mambo mengi ndio maana tunajifunza kutoka kwao,hao wanaoenda ndio tunawategemea watulete kwenye usasa
Mkoloni alituachia mbinu za kuendelea kumtawala mtu mweusi ili akiona hivyo aogope ku demand uhuru. Sasa jeshi letu linaona ndio mbinu za kivita karne hii ya Artificial Intelligence.Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Sasa apo inategemea na Factors zilizo tumika, kama ni hizi za kubeba mizigo hata mm nakubali.Jeshi letu ni jeshi Bora duniani likitanguliwa na Nchi Tano tu.Alisikika mmoja wa makamanda wa jeshi Hilo.
Wangeimba nyimbo tu ingekua poa.Yaani nimesikitishwa sana na nilicho kiona leo pale uhuru stadium. JESHI MAMBO MENGINE YANGELIBAKI KUWA SIRI ZA JESHI TU. [emoji849][emoji36] Hebu imagine yale ma drone Iran yalivyo tulizwa wenge juzi na jeshi la Israel hebu imagine [emoji18] halafu angalia sisi [emoji23] si bora tufiche mambo mengine aisee.
Wenzetu wamewekeza kwenye elimu, kisha wamewekeza haswa kwenye jeshi, viwanda n.k, sisi tunaleta masihara masihara tu. Kisha mtu anakuja kuwabeza jwtz eti waache ushamba, sasa wafanye nini na ndio walichonacho, hawawezi kutamba na hizo mig za miaka isiyojua watu.Wanataka wanajeshi wakate mishahara yao wakanunue Missiles? If the policy aren't tight, How can JWTZ be good.
Sijui ndugu yangu sisi huku tuko chini hao Rear Echelon Mother****rs na the brass ndio wameshika mipiniKila siku wana fanya maziara huko sijui wanajifunza nn.
Nikatalie kwa uthibitisho sasa kaka sijaandika kwa ajili ya ubishani naimani hata nchi yako AIR DEFENSE SYSTEM hujui wanatumia ipi na hata fighter hata kugusa walau tairi hujafanya. Nipe uthibitisho na wewe tafuta utaona.Aaah wapi....
Acha unafki bana SAS au hao NAVY SEAL katika pre course ya SF wanafanyaje? Au uingereza na marekani hawana advanced jet fighters na bombers au hizo drones ila kwanini wanini wana SF ambazo katika pre selection course hayo yotee yanafanyika wao wapumbavu sana?Alafu waandishi wa habari walivyo kuwa wanafiki wana andika kabisa eti BALAA LA MAKOMANDO WA JWTZ.
😂😂😂😂 Sasa hapo kuna balaa gani, au kubeba mizigo ya kilo 70 ndiyo balaa lenyewe.
Badala ya kuonyesha vifaa vya kisasa wao wana beba mamizogo ya kuvunja migongo.
Aya bana Mr. RSMSijui ndugu yangu sisi huku tuko chini hao Rear Echelon Mother****rs na the brass ndio wameshika mipini
Acheni dhihaka hivi mnafikiri mnalindwa na nani kuweni na akili japo kudogoNi kama wanafanya mafunzo ya kujiandaa kuwa makuli.
Hao WAMAREKANI wanaonyesha kubeba mizigo tuu ?!Acha unafki bana SAS au hao NAVY SEAL katika pre course ya SF wanafanyaje? Au uingereza na marekani hawana advanced jet fighters na bombers au hizo drones ila kwanini wanini wana SF ambazo katika pre selection course hayo yotee yanafanyika wao wapumbavu sana?
Kila miaka wao ni kubeba mizigo tuu mgongoni.Wangeimba nyimbo tu ingekua poa.
Kila miaka wao ni kubeba mizigo tuu mgongoni.Wangeimba nyimbo tu ingekua poa.