Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

Unaomba ushauri kula moto?
Riba haiachi mtu salama,itakuja kukutokea puani
Nakushauri urudishe hizo pesa za haramu kwa hao ulipozichukulia[emoji1321]‍♂️
 
Acheni wivu, sasa mnataka anunue gari kwa cash anaweza. Huyo mshahara wake ni zaidi ya 2mln labda ana maposho pia.huwezi kuwa na salary ya laki sita ukaweza kukopa hata 15mln.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi jua labda kawakeza tayari

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
wewe ni kichaa kwakua unasema unavitega uchumi yan upo vizuri, na bado mwsho wa mwez mshahara, sasa umekopa ili iweje? then unasema upewe ushaur ununue gar gani itakayobaki ule bata, wekeza kijana ni ushauri tu
Wew ndio kichaa usiye elewa mimi nimeomb ushaur alaf sio lazma kila post humu ukiiona utoe coment.. mazafaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana ..wew kwel great thinker sio wengine humu majibu yao ya kunya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana umeongea kwel kbsa..shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…