nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,250
- 1,727
- Thread starter
- #61
Njoo uchukue inaonekan unapenda vya kupewamtoto unapata pesa hujui uitumie vipi, wape wakubwa waitumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo uchukue inaonekan unapenda vya kupewamtoto unapata pesa hujui uitumie vipi, wape wakubwa waitumie
Nimeomba ushauri wa aina ya gar ya kununua nasio kama unavofikiria wewe..UWE UNASOMA POST VIZUR KABLA YA KUCOMENTUNGEOMBA USHAURI KABLA YA KWENDA KUCHUKUA MKOPO NA SIO UCHUKUE KWANZA, UNGEOMBA USHAURI KUHUSU MATUMIZI NA SI UOMBE USHAURI BAADA YA KU AINISHA MATUMIZI YAKO, SASA UNATAKA USHAURI UPI TENA NA UMESHAPANGA KILA KITU. TUKIKUSHAURI UTAKUBALIANA NA USHAURI WETU? HAYA TUNAKUSHAURI RUDISHA HIZO PESA ZOTE CRDB BENKI WAELEZE SIHITAJI TENA MKOPO WENU, BADALA YAKE WEKEZA KIDOGO KIDOGO KWENYE KIPATO CHAKO ILI UWEZE KUTIMIZA MAHITITAJI MENGINE, AU ACHANA NA MIPANGO YOTE KUHUSU MATUMIZI YA HIZO PESA TUTAKUPANGIA SISI LA KUFANYA. UNASEMAJE MKUU.
Definition ya gari mpya Tanzania ni tofauti na ya kamusi.
NimekupataMkopo hii ni pesa ya mkupuo kwa mara moja..kitega uchumi huweza pata mil30 kwa mkupuo
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera mkuu ....mapambano yaendelee
Duh aseeAchana na mambo ya kujenga na kununua gari.wewe kula bata.Tembelea uber tu.Wewe ni milionea sasa
Sawa mkuuKula bata siutalipa wewe usipangiwe maisha mkuu ishi utakavyo ilimladi huvunji sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mlevi mimi
Mark x mil 15? Labda second hand lkn sihitaj gar yenye matumiz makubwa ya wese nahitaji gari tu ya kutembelea mjiniachana na IST gari haina mbele wala nyuma. chukua Mark x gari ya bata au athlete crown unaweza kupata below 15M. lakini ni gari ambazo hazitakuingizia hela badala yake utakua unatoa hela tu ya wese na service.
Ningekuwa wewe!
1. kwa kuwa nahitaji usafiri basi nitachukua suzuki carry kwa 7M inakuwa bado ipo safi kabisa. Hii mbali na kuitumia kwa usafiri itanifaa kwa kubeba miZigo midogomidogo na kupiga hela.
2. kwa kuwa sina akili ya kibiashara (kutokana na uzi wako) basi ningejenga nyumba kubwa ya kupanga niwe nakula kodi kila mwezi.
3. kwa kuwa baada ya kufanya hayo kuna pesa itabaki, basi nitanunua viwanja kadhaa ili vinifae kwa siku za baadae.
yaano hapo ningekuwa mm ningefanya hayo. ila ww sio mimi
Sent using Jamii Forums mobile app