Mkopo ninao, biashara nilikuwa nafanya japo ni ndogo ndogo hata pindi nipo chuoni ila hii ya kipindi hichi cha Corona kidogo ndo naona inaleta matunda kwani naendelea kuanzisha vitega uchumi vingine
😁😁😁Mzee wa kusifu na kusujuduKwani Bia yetu anasemaje kuhusu hili mazee
Watu tumetoka familia duni tumekomaa mpaka tumetoboa Chuo. Wewe unaleta kudeka-deka hapa. Acha hicho chuo humtishi yoyote.That is it
Safi sanaMleta mada umenikubusha mdogo wangu ali acha shule wiki moja kabla ya mtihani wa form four. Nilihangaika sana wapi!! Akafungua bucha. Sasa hivi ni Mwenyekiti wa wanywa gongo kijijini.
Umemshauri vyema, atafuga tu akimaliza chuo, ingawa pengine degree yake sio ya mifugo.Nakushauri fanya vyote kwa pamoja. Semister moja sio kitu komaa maliza then utafuga ukiwa na Shahada yako.
Hahahahahahah umwtisha mkuu! But mimi nilikuwa mtu mzima kama niliji control mwenyewe mpaka university afu leo hii nije kunywa gongo labda nirogweeeeMleta mada umenikubusha mdogo wangu ali acha shule wiki moja kabla ya mtihani wa form four. Nilihangaika sana wapi!! Akafungua bucha. Sasa hivi ni Mwenyekiti wa wanywa gongo kijijini.