Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
Malizia chuo, umebakisha semester moja tu. Malizia ni muhimu. Elimu itakuletea pesa zaidi baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo mjinga man! Kwan cku nikikoswa ajira c ntasema hivyo hivyo kuwa nashindwa kutumia elimu yangu kupata pesa!?Acha kweli kama wewe ni mwanaume, uone utavochezea za ugoko.
Yaani kumiliki mbuzi na nguruwe na uache chuo? Kweli wewe ni mjinga FC
Yaaah we ni mjanja mkuu.. go on!Mimi siyo mjinga man! Kwan cku nikikoswa ajira c ntasema hivyo hivyo kuwa nashindwa kutumia elimu yangu kupata pesa!?
Kwahyo nikiacha chuo nitakuwa bado cyo mjinga
Pesa unaweza ukaipata na ikakwisha, lakini elimu ukisha ipata haikwishi
Elimu gani unaongelea ambayo hadi hapo hajaipata? Cheti au vipi?
Kweli elimu ipo ktk mazingira tunayotokea na cyo shulen. Ila ukisoma unakuwa na uelewa fulan ata ukitafuta pesa unakuwa na hamu ya kuishi maisha mazuriKuwa na elinu tu haina maana kama hiyo elimu haiwezi kubadilisha maisha yako na ya wengine
Asante sana kwa ushauri mzuri. Maelezo yako yamejitosheleza mkuu ubarikiwe sanaBinafsi sipo upande wowote ila mtu kuacha chuo inategemeana na malengo aliyonayo, kitu gani kinachomfamya aache chuo?
Mtoa mada kama una malengo fulani (achana na ulivyonavyo kwasasa) ambayo unaona shule yako haitakuwa na mchango wowote hapo unaweza kuacha ili kuanza kufanyia kazi suala hilo.
Ila kama hali uliyonayo kwasasa kutokana na hivyo unavyomiliki ndio sababu kubwa kwako ya kuacha chuo, aisee usijaribu, huo ni muda wa mpito na ikitokea ukapata hasara either magonjwa au uwezo wa kutunza hiyo mifugo isiwepo utakumbuka sana huu wakati na kujuta laiti ungemaliza tu chuo.
Kiujumla kama una malengo ambayo ukiyafanyia kazi kwa moyo wote na upo kujitoa kwa namna yoyote, chukua hatua. Ila kama malengo yako ni ya kusuasua bora umalizie chuo.
NB: Malengo yako, maono yako ya mbele kiujumla ndiyo jambo la msingi, jithathmini kama unaona una wasiwasi wa aina yoyote juu ya yale unayotarget, nenda kamalize chuo.
Niliacha chuo, ila nilikuwa na malengo ambayo leo siwezi juta kuacha kwangu chuo mpaka keshokutwa.
Malengo uliyonayo, usimfikirie mtu yeyote, jifikirie wewe na uwe tayr hata kesho mambo yakiwa magumu uwe tayari kulipa kwa maamuzi unayoyafanya leo.
Narudia mkuu, malengo yako na strategies zitakazokufikisha hapo ziwe well defined.
Mtaani huku siyo rahisi kama unavyodhani, ukipata leo lazima uwe na akili ya kutambua kuwa piga ua garagaza kesho utakosa hiyo ipo huwezi ikwepa.
Ukipata jifunze kuweka ili kesho ukikosa bado una namna ya kuendelea kuishi.
Shule ni muhimu sana, but you'll never escape from your destiny!!
Sio kubeza mkuu wanajaribu kukushauri tu, mi mwaka wa pili miaka hiyo nilitaka kuacha chuo nikaghairi, ila nikikumbuka naona ulikuwa bonge la ujinga kama ningefanikiwa kuacha.Ila watanzania kwa kubeza hamjambooo
Aache kimya kimya ya nn kututangazia?Safi sana mkuu. Maisha siyo vitabu, ni plan tu