Nimedhamiria kuacha Chuo ili nijiajiri

Nimedhamiria kuacha Chuo ili nijiajiri

Acha kweli kama wewe ni mwanaume, uone utavochezea za ugoko.

Yaani kumiliki mbuzi na nguruwe na uache chuo? Kweli wewe ni mjinga FC
Mimi siyo mjinga man! Kwan cku nikikoswa ajira c ntasema hivyo hivyo kuwa nashindwa kutumia elimu yangu kupata pesa!?

Kwahyo nikiacha chuo nitakuwa bado cyo mjinga
 
Kuwa na elinu tu haina maana kama hiyo elimu haiwezi kubadilisha maisha yako na ya wengine
Kweli elimu ipo ktk mazingira tunayotokea na cyo shulen. Ila ukisoma unakuwa na uelewa fulan ata ukitafuta pesa unakuwa na hamu ya kuishi maisha mazuri

Kwangu mimi nilichobakiza n chet tu make nimesoma vingi sana
 
Binafsi sipo upande wowote ila mtu kuacha chuo inategemeana na malengo aliyonayo, kitu gani kinachomfamya aache chuo?

Mtoa mada kama una malengo fulani (achana na ulivyonavyo kwasasa) ambayo unaona shule yako haitakuwa na mchango wowote hapo unaweza kuacha ili kuanza kufanyia kazi suala hilo.

Ila kama hali uliyonayo kwasasa kutokana na hivyo unavyomiliki ndio sababu kubwa kwako ya kuacha chuo, aisee usijaribu, huo ni muda wa mpito na ikitokea ukapata hasara either magonjwa au uwezo wa kutunza hiyo mifugo isiwepo utakumbuka sana huu wakati na kujuta laiti ungemaliza tu chuo.

Kiujumla kama una malengo ambayo ukiyafanyia kazi kwa moyo wote na upo kujitoa kwa namna yoyote, chukua hatua. Ila kama malengo yako ni ya kusuasua bora umalizie chuo.

NB: Malengo yako, maono yako ya mbele kiujumla ndiyo jambo la msingi, jithathmini kama unaona una wasiwasi wa aina yoyote juu ya yale unayotarget, nenda kamalize chuo.

Niliacha chuo, ila nilikuwa na malengo ambayo leo siwezi juta kuacha kwangu chuo mpaka keshokutwa.

Malengo uliyonayo, usimfikirie mtu yeyote, jifikirie wewe na uwe tayr hata kesho mambo yakiwa magumu uwe tayari kulipa kwa maamuzi unayoyafanya leo.

Narudia mkuu, malengo yako na strategies zitakazokufikisha hapo ziwe well defined.

Mtaani huku siyo rahisi kama unavyodhani, ukipata leo lazima uwe na akili ya kutambua kuwa piga ua garagaza kesho utakosa hiyo ipo huwezi ikwepa.

Ukipata jifunze kuweka ili kesho ukikosa bado una namna ya kuendelea kuishi.

Shule ni muhimu sana, but you'll never escape from your destiny!!
 
Asante sana kwa ushauri mzuri. Maelezo yako yamejitosheleza mkuu ubarikiwe sana
 
Dah, umenikumbusha mbaali kweli.
Kipindi naenda kumtembelea babu kijijini kabla ya kuanza chuo, nilikaa na babu vzr saana kwa almost 6month (tulikuwa na a year break kabla ya kujiunga UD) seems babu alivutiwa na na stori zangu na care akawaita watoto wake akawaambia wanipatie ngómbe zake zoote na waniozeshe ili niwe nakae naye. Ikawa ni binde kumtuliza ili aachane na wazo lake na mm niende chuoni.

Life has soo many corners and one corner will set/unset your whole life. The mystery is you'll never know which corner is right/wrong till a further reflection of your life in 20/30 years ahead.
 
Back
Top Bottom