Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Watu wanafkir ku make money ni rahisi tu ila wanasahau ku maintain same standard!.
Unaacha shule unaenda kufuga mbuzi na nguruwe alaf una one last semester?[emoji23][emoji23]
Yaani mtu unamiliki Nguruwe wawili, mbuzi mmoja na kuku unataka kuacha chuo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We jamaa unashangaza sana,vitu unavyomiliki ni vidogo sana,halafu eti unataka kuacha chuo?!!!,Hivi ungekuwa unamiliki ranchi je si ungechoma hata majengo ya chuo yenyewe kwamba haya maana?. Acha hizo bhana watu wana miradi ya kueleweka na bado wanakomaa na shule.
Utakuwa unatumia bhang kumiliki nguruwe unataka kuacha shule?
Acha mbwembwe mkuu,
Miezi mitatu si mingi.
Ndugu acha huo ujinga,yaani kwa akili yako hao kuku 2,mbuzi 3 na nguruwe unaona ushatoka tayari? Huvi nani alikwambia ufananishe elimu na pesa? ,Huko chuo kikuu ulienda kisomea ujinga?mpaka leo semester ya mwisho unashindwa kutofautisha elimu na fedha.Kila kitu kina nafasi yake na kina umuhimu wake kipekeeee.Mwenye akili timam anajua kupangilia ,akishamaliza hili linafuata lingne.
Vyuo vifunguliwe tu muende maana yani uache chuo kisa mbuzi wa elfu sitini unamini watakutoa, soma mdogo wangu soma, maliza chuo na ukipata ajira ajiliwa hizo maneno kujiajiri kujiajiri zikikie tu kama kifo kifo maana kifo kipo ila tunskiogopa na siku ikifika unakufa haikwepeki kwaiyo hata kujiajiri Sikh ikifika utajiajiri tu ila usilazimishe
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu unamtishia Nani?
Habari za mida wakuu!
Japo nipewa ushauri wa kuendelea na masomo ili nimalize semester moja iliyobaki lakini kusema kweli roho yangu bado haitaki kwenda kusoma make nimenogewa kwenye ujasiria mali japo sijaanza kuingiza pesa ndefu sana. Lakini natambua ipo siku nitaingiza kiasi kikubwa sana.
Na hata baada ya Mh. Rais kutoa kauli kuwa vyuo vitafunguliwa juni 1, 2020 nilipambana ndani ya wiki moja nikawa nimepata 76,500 kama nauli ya kunirudisha chuoni huko kanda ya kaskazini jana akatokea jamaa mmoja anauza mbuzi 4 kwa Tsh. 60000 nikaamua kujitungua hivyo nikatumia nauli kununua mbuzi.
Mimi rohoni mwangu saivi nafurahi sana nitakapo kuwa mfugaji mkubwa sana na nimeanza kwa mifugo tofauti tofauti kama nguruwe 2, mbuzi 4, na kuku chotara mitetea 5 na jogooo 1.
Kusoma ni utumwa. Overa
Man nakubali kuwa n vidogo mno tena sana lkn najaribu vinaweza vikawa vingi sana kama nitakomaaVyuo vifunguliwe tu muende maana yani uache chuo kisa mbuzi wa elfu sitini unamini watakutoa, soma mdogo wangu soma, maliza chuo na ukipata ajira ajiliwa hizo maneno kujiajiri kujiajiri zikikie tu kama kifo kifo maana kifo kipo ila tunskiogopa na siku ikifika unakufa haikwepeki kwaiyo hata kujiajiri Sikh ikifika utajiajiri tu ila usilazimishe
Mkuu sijasema kama nimetoka! Ila kweli napenda niviendeleze mkuu wangu. Mi huwa naamini sana ktk kazi najua utajiuliza kuwa nilikuwa wapi mpaka nikaanda chuo nikaacha kufanya hizo kazi hiyo n story nyingine.Ndugu acha huo ujinga,yaani kwa akili yako hao kuku 2,mbuzi 3 na nguruwe unaona ushatoka tayari?
Huvi nani alikwambia ufananishe elimu na pesa? Huko chuo kikuu ulienda kisomea ujinga? mpaka leo semester ya mwisho unashindwa kutofautisha elimu na fedha.
Kila kitu kina nafasi yake na kina umuhimu wake kipekeeee.Mwenye akili timam anajua kupangilia ,akishamaliza hili linafuata lingne.
Achana nayo mkuu, yaani hapo umeshaula kwa kweli! Ujinga ni mzigo!Habari za mida wakuu!
Japo nipewa ushauri wa kuendelea na masomo ili nimalize semester moja iliyobaki lakini kusema kweli roho yangu bado haitaki kwenda kusoma make nimenogewa kwenye ujasiria mali japo sijaanza kuingiza pesa ndefu sana. Lakini natambua ipo siku nitaingiza kiasi kikubwa sana.
Na hata baada ya Mh. Rais kutoa kauli kuwa vyuo vitafunguliwa juni 1, 2020 nilipambana ndani ya wiki moja nikawa nimepata 76,500 kama nauli ya kunirudisha chuoni huko kanda ya kaskazini jana akatokea jamaa mmoja anauza mbuzi 4 kwa Tsh. 60000 nikaamua kujitungua hivyo nikatumia nauli kununua mbuzi.
Mimi rohoni mwangu saivi nafurahi sana nitakapo kuwa mfugaji mkubwa sana na nimeanza kwa mifugo tofauti tofauti kama nguruwe 2, mbuzi 4, na kuku chotara mitetea 5 na jogooo 1.
Kusoma ni utumwa. Overa
Sikiliza sasa wakubwa wanakwambia nini usizani maisha vyepesi kwa hesabu za mdomo kama hivyo kina kitu kinaitwa uhalisia ni kigumu sana ndio maana tunakushauri assert uliyonayo sasa ni elimu ebu ikamilishe alafu ndio uje kufanya hizo plan zaoMan nakubali kuwa n vidogo mno tena sana lkn najaribu vinaweza vikawa vingi sana kama nitakomaa