Nimedhamiria kuacha Chuo ili nijiajiri

Nimedhamiria kuacha Chuo ili nijiajiri

We jamaa unashangaza sana,vitu unavyomiliki ni vidogo sana,halafu eti unataka kuacha chuo? Hivi ungekuwa unamiliki ranchi je si ungechoma hata majengo ya chuo yenyewe kwamba haya maana? Acha hizo bhana watu wana miradi ya kueleweka na bado wanakomaa na shule.
 
Ndugu acha huo ujinga,yaani kwa akili yako hao kuku 2,mbuzi 3 na nguruwe unaona ushatoka tayari?

Huvi nani alikwambia ufananishe elimu na pesa? Huko chuo kikuu ulienda kisomea ujinga? mpaka leo semester ya mwisho unashindwa kutofautisha elimu na fedha.

Kila kitu kina nafasi yake na kina umuhimu wake kipekeeee.Mwenye akili timam anajua kupangilia ,akishamaliza hili linafuata lingne.
 
Vyuo vifunguliwe tu muende maana yani uache chuo kisa mbuzi wa elfu sitini unamini watakutoa, soma mdogo wangu soma, maliza chuo na ukipata ajira ajiliwa hizo maneno kujiajiri kujiajiri zikikie tu kama kifo kifo maana kifo kipo ila tunskiogopa na siku ikifika unakufa haikwepeki kwaiyo hata kujiajiri Sikh ikifika utajiajiri tu ila usilazimishe
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kigorohe wasikilize hawa.
Watu wanafkir ku make money ni rahisi tu ila wanasahau ku maintain same standard!.

Unaacha shule unaenda kufuga mbuzi na nguruwe alaf una one last semester?[emoji23][emoji23]
Yaani mtu unamiliki Nguruwe wawili, mbuzi mmoja na kuku unataka kuacha chuo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We jamaa unashangaza sana,vitu unavyomiliki ni vidogo sana,halafu eti unataka kuacha chuo?!!!,Hivi ungekuwa unamiliki ranchi je si ungechoma hata majengo ya chuo yenyewe kwamba haya maana?. Acha hizo bhana watu wana miradi ya kueleweka na bado wanakomaa na shule.
Utakuwa unatumia bhang kumiliki nguruwe unataka kuacha shule?
Acha mbwembwe mkuu,
Miezi mitatu si mingi.
Ndugu acha huo ujinga,yaani kwa akili yako hao kuku 2,mbuzi 3 na nguruwe unaona ushatoka tayari? Huvi nani alikwambia ufananishe elimu na pesa? ,Huko chuo kikuu ulienda kisomea ujinga?mpaka leo semester ya mwisho unashindwa kutofautisha elimu na fedha.Kila kitu kina nafasi yake na kina umuhimu wake kipekeeee.Mwenye akili timam anajua kupangilia ,akishamaliza hili linafuata lingne.
Vyuo vifunguliwe tu muende maana yani uache chuo kisa mbuzi wa elfu sitini unamini watakutoa, soma mdogo wangu soma, maliza chuo na ukipata ajira ajiliwa hizo maneno kujiajiri kujiajiri zikikie tu kama kifo kifo maana kifo kipo ila tunskiogopa na siku ikifika unakufa haikwepeki kwaiyo hata kujiajiri Sikh ikifika utajiajiri tu ila usilazimishe
 
tapatalk_1575393608831.jpg
 
Kabisa acha tu mkuu chuo si umeona hata kina Kanye West , Diddy etc walitema vyuo!!
 
Habari za mida wakuu!

Japo nipewa ushauri wa kuendelea na masomo ili nimalize semester moja iliyobaki lakini kusema kweli roho yangu bado haitaki kwenda kusoma make nimenogewa kwenye ujasiria mali japo sijaanza kuingiza pesa ndefu sana. Lakini natambua ipo siku nitaingiza kiasi kikubwa sana.

Na hata baada ya Mh. Rais kutoa kauli kuwa vyuo vitafunguliwa juni 1, 2020 nilipambana ndani ya wiki moja nikawa nimepata 76,500 kama nauli ya kunirudisha chuoni huko kanda ya kaskazini jana akatokea jamaa mmoja anauza mbuzi 4 kwa Tsh. 60000 nikaamua kujitungua hivyo nikatumia nauli kununua mbuzi.

Mimi rohoni mwangu saivi nafurahi sana nitakapo kuwa mfugaji mkubwa sana na nimeanza kwa mifugo tofauti tofauti kama nguruwe 2, mbuzi 4, na kuku chotara mitetea 5 na jogooo 1.

Kusoma ni utumwa. Overa

We bila shaka una sup/carry za kutosha au tayari motivational speakers washafanya yao. Sababu uliotoa haiwez kukufanya u sacrifice miaka 3 yote uliokua chuo ushindwe kumaliza semista moja ya miez 3 tu.

Zaidi na zaidi hivyo vitu ulivyonavyo bado unaeza endelea navyo huku ukiwa unamaliza semista ya mwisho.

Maliza chuo uendelee na ujasiriamali wako.
 
Vyuo vifunguliwe tu muende maana yani uache chuo kisa mbuzi wa elfu sitini unamini watakutoa, soma mdogo wangu soma, maliza chuo na ukipata ajira ajiliwa hizo maneno kujiajiri kujiajiri zikikie tu kama kifo kifo maana kifo kipo ila tunskiogopa na siku ikifika unakufa haikwepeki kwaiyo hata kujiajiri Sikh ikifika utajiajiri tu ila usilazimishe
Man nakubali kuwa n vidogo mno tena sana lkn najaribu vinaweza vikawa vingi sana kama nitakomaa
 
Ndugu acha huo ujinga,yaani kwa akili yako hao kuku 2,mbuzi 3 na nguruwe unaona ushatoka tayari?

Huvi nani alikwambia ufananishe elimu na pesa? Huko chuo kikuu ulienda kisomea ujinga? mpaka leo semester ya mwisho unashindwa kutofautisha elimu na fedha.

Kila kitu kina nafasi yake na kina umuhimu wake kipekeeee.Mwenye akili timam anajua kupangilia ,akishamaliza hili linafuata lingne.
Mkuu sijasema kama nimetoka! Ila kweli napenda niviendeleze mkuu wangu. Mi huwa naamini sana ktk kazi najua utajiuliza kuwa nilikuwa wapi mpaka nikaanda chuo nikaacha kufanya hizo kazi hiyo n story nyingine.

Mi najua kabsa hata nikisoma mshahara ni ule ule hauzidi 600k tena ajira ni ya kusotea sana
 
Habari za mida wakuu!

Japo nipewa ushauri wa kuendelea na masomo ili nimalize semester moja iliyobaki lakini kusema kweli roho yangu bado haitaki kwenda kusoma make nimenogewa kwenye ujasiria mali japo sijaanza kuingiza pesa ndefu sana. Lakini natambua ipo siku nitaingiza kiasi kikubwa sana.

Na hata baada ya Mh. Rais kutoa kauli kuwa vyuo vitafunguliwa juni 1, 2020 nilipambana ndani ya wiki moja nikawa nimepata 76,500 kama nauli ya kunirudisha chuoni huko kanda ya kaskazini jana akatokea jamaa mmoja anauza mbuzi 4 kwa Tsh. 60000 nikaamua kujitungua hivyo nikatumia nauli kununua mbuzi.

Mimi rohoni mwangu saivi nafurahi sana nitakapo kuwa mfugaji mkubwa sana na nimeanza kwa mifugo tofauti tofauti kama nguruwe 2, mbuzi 4, na kuku chotara mitetea 5 na jogooo 1.

Kusoma ni utumwa. Overa
Achana nayo mkuu, yaani hapo umeshaula kwa kweli! Ujinga ni mzigo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kama ungekua mwaka wa kwanza ningekushauri uache lakini umebakisha semester moja tuu, nenda kamalizie tuu
 
Man nakubali kuwa n vidogo mno tena sana lkn najaribu vinaweza vikawa vingi sana kama nitakomaa
Sikiliza sasa wakubwa wanakwambia nini usizani maisha vyepesi kwa hesabu za mdomo kama hivyo kina kitu kinaitwa uhalisia ni kigumu sana ndio maana tunakushauri assert uliyonayo sasa ni elimu ebu ikamilishe alafu ndio uje kufanya hizo plan zao

Asiudanganye mtu elimu ni elimu tu elimu ina wake pesa haina mda wake
 
Back
Top Bottom