WANASHERIA WAANDIKE BARUA KWA DP WORLD WAKIMTAADHALISHA KUWA YALIYOFANYWA NA SAMIA WATANGANYIKA HATUKUMTUMA. HIVYO HAWATAPOKELEWA HAPAKunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Na wewe ni mmoja wapo kati ya hao waliyoiona!?Wapo watu wanazijua zote 30, na wameziona pia
acha unafiki na, we Tanganyika unaifahamu.Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.[emoji419][emoji375]Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
MUOTA NJOZI NA NDOTO ZAKE!Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Halafu zote hizo zije kuitwa HGA huku IGA ikisimama....manake sidhani kama kutakuwa na IGA 30 zitakazo kuja kuridhiwa na kupitishwa na Bunge.....tumeona Phase 1 Project 1 sasa tukiambiwa zimo zote mumo? Phase 1-30 Project 1-30 halafu ukizingatia hii phase one peke yake yaani Early Project imechukua miaka miwili, kiunagaubaga Miaka 30 ukiondoa miaka ya Miradi yenyewe! Halafu tukisema milele wanasema hakuna mstari au kipengele kinachosema miaka 100! Ebo!Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Haswaa mzee mwenzangu,hatuwezi kuuzwa na wasio watanganyika,kwani tulikubaliana wapi?WANASHERIA WAANDIKE BARUA KWA DP WORLD WAKIMTAADHALISHA KUWA YALIYOFANYWA NA SAMIA WATANGANYIKA HATUKUMTUMA. HIVYO HAWATAPOKELEWA HAPA