Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

View attachment 2744152
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.

Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.

Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.

Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Laleni uchi mnasubiria nini?
 
Nini kimefichwa?

Sijaona awamu iliyo wazi na makubaliano na mikataba yake ya nje zaidi ya hii ya mama Samia.
Hata mimi sijawahi kuona awamu ambayo mikataba yake inagawa bure rasilimali zote za nchi kwa mikataba zaidi ya 30
 
Hata mimi sijawahi kuona awamu ambayo mikataba yake inagawa bure rasilimali zote za nchi kwa mikataba zaidi ya 30
Tuoneshe mmoja uliogawa mali, hatutaki porojo, tunataka utuoneshe huo mkataba.

Unao au una porojo tu?
 
Tuoneshe mmpoja uliogawa mali, hatutaki poorjo, tunataka utuoneshe huo mkataba.

Unao au una porojo tu?
Ndugu zako katika Imaan wanafaidika sana na raslimali za Tanganyika.Hivi uuzwaji wa Loliondo kwa UAE umekunufaisha nini wewe na waislamu wengine wa Tanzania?
 
#) tu? Mbona umelala wewe. hizo za Dubai tu, bado hujasema za Oman. Kia si unaona management imeshaanza kufanya mambo yake pale, maduka bado?

Bado za Saudu Arabia.

Bado za Qatar.
Bado za Kuwait.

Za Algeria tayari umeziona?

Watu tunaongelea MoU kama 200 za nchi za Kiarabu, wewe uko wapi n hivyo vi 30 vyako?
Waarabu wanafanya biashara kama wawekezaji wengine hawaji kukuza dini yako.Angalia faida mnazozipata pale Loliondo.Kataa unyonyaji na ukoloni mamboleo.Pale Loliondo hata masheikh hawakanyagi kabisa ni full business.Amka!
 
Tuoneshe mmpoja uliogawa mali, hatutaki poorjo, tunataka utuoneshe huo mkataba.

Unao au una porojo tu?
Kukaa kimya, pale mtu anapoona atakalosema linaweza kutafsiriwa vibaya au vinginevyo, ni moja ya sifa kuu ya mwenye busara.
 
Ndugu zako katika Imaan wanafaidika sana na raslimali za Tanganyika.Hivi uuzwaji wa Loliondo kwa UAE umekunufaisha nini wewe na waislamu wengine wa Tanzania?
Hivi wewe hujanufaika? Kwenu wapi? Dah itakuwa mmesahauliwa sana.
 
Jiwe alituingiza chaka kumchagua mpiga deal🤔
 
View attachment 2744152
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.

Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.

Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.

Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Nimejitahidi kuangalia vizur kweny hio video labda ntaona hata MoU moja katiba hizo 30 ila hola.

Hao waliokwambia serikal imesaini MoU wambie wakupe tuzione. Kama IGA ilivuja why hizo Agreement nyingne.

Na watanzania walivyo wa ajabu ukisoma kweny comments unaona eti serikali haifanyi sawa, haifanyi sawa kwa taarifa za kufikirika.

SAMIA TUVUSHE TUVUSHE MAMA
 
Back
Top Bottom