FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nani anavujisha mikataba ya siri inayosainiwa na Serikali ya Tanzania na Waarabu? Lengo lake ni nini?
Leo usku sikupata usingizi baada kupata taarifa kutoka U tube zikimuonesha Mh Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa mkoani Geita kwenye Moja ya Mikutano yake ya hadhara alidai yakuwa kuna mkataba mwingine umesainiwa, Kati ya waarabu na Serikali ya awamu ya sita. Mkataba huu Unahusu kutunziwa...