Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

Kwamba wewe una uelewa wa sheria kuliko Shivji?Muda utaongea.
Uzuri pia tumeweka risiti ya hili.
Shivji nae kawaingiza watanzania chaka baya. Kaitafsiri IGA wakati biashara zinakwenda kufanyika kwa kupitia HGA zitakazoandikwa kati ya DW na wadau wa biashara za bandari.

Tafuta video ya Ashraf Khan yule mhindi mdau wa bandari utayagundua makosa ya Prof Shivji kwenye uchambuzi wake katika suala zima la bandari.
 
Wapo watu wanazijua zote 30, na wameziona pia
wewe zilete hapa tuzione, hizo nyingine ni stori tu. Hata mimi naweza kukwambia alisaidi mikataba 100 na nimeiona kabisa, je utaniamini na kuja kueneza hizo rumors?
 
Azimio la bunge kuhusu pendekezo la kuridhiwa mkataba. Maana yake hicho kilichopo hapo ni agreement ya IGA, mikataba halisi inatengenezwa kwa makubaliano ya pande mbili, DP na wadau wa bandarini kuhusu biashara husika inayotajwa kwenye hiyo IGA.
Sikiliza wewe kilaza, hujui unachotetea hapa...hebu sikiliza na hii!
 
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.

Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.

Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.

Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Ndio maana tunataka ajiuzulu mara moja mwenyewe na hizo MOU zitangazwe non and void. Naona ni kama yule malkia huihui wa wagagakikikoko ,.. wale tulisomaga enzi nzile🤣
 
Sikiliza wewe kilaza, hujui unachotetea hapa...hebu sikiliza na hii!
View attachment 2678418
Huyo mpuuzi anakwenda kushindwa mahakamani tena mapema sana. Hana hoja kwa mtu makini mwenye kupima masuala kwa akili.

Bunge ndio uwakilishi wote wa watu milioni 61 ulipo. Na huwezi kuwa na bunge pasipo kuwa na waziri mkuu kama sehemu ya mjadala wowote kwani yeye ndiye kiongozi wa masuala yote ya kiserikali bungeni.

Ikiwa mwanasheria mwenye kufikia hatua ya kufungua kesi ya kuipinga serikali mahakamani hayajui hayo mambo ya kawaida kabisa ya sheria za nchi basi anayo matatizo tena makubwa.
 
Halafu zote hizo zije kuitwa HGA huku IGA ikisimama....manake sidhani kama kutakuwa na IGA 30 zitakazo kuja kuridhiwa na kupitishwa na Bunge.....tumeona Phase 1 Project 1 sasa tukiambiwa zimo zote mumo? Phase 1-30 Project 1-30 halafu ukizingatia hii phase one peke yake yaani Early Project imechukua miaka miwili, kiunagaubaga Miaka 30 ukiondoa miaka ya Miradi yenyewe! Halafu tukisema milele wanasema hakuna mstari au kipengele kinachosema miaka 100! Ebo!

Nitaivaa chupi yangu kichwani na kurandaranda uje sasa uniite Chizi uone
Nimecheka kama mazuri vile.
CCM na MaCCM wake ni MAJANGA MATUPU.
 
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu upo?
Tanganyika imeuzwa kama kondoo uarabuni.
Umeona wamepeleka muswada bungeni kubadili sheria kusudi wamiliki kila kitu.
Nauliza tu ‘ Kwani wananchi ni uoga upole au kutokujali’
Kesi haiwezi kufunguliwa mahakama za East Africa?
Wabunge wanajua wanachofanya kweli?
Inaumiza mweh!
 
Mkataba upi wenye vipengele vinavyotuingiza utumwani?. Hiyo ndiyo kazi haramu inayofanywa na wanasheria kina Rugemeleza na Mwabukusi, kuwadanganya watu wakiwa na nia ovu kwa bandari na maslahi yake mapana.

Hakuna mkataba wowote uliosainiwa kwani mikataba ya kibiashara inatokana na makubaliano yaliyopitishwa na bunge. Azimio lililopita bungeni halina nguvu kulingana na kile kinachokwenda kuandikwa kwenye mikataba ya biashara inayokubalika na pande zote mbili na kuwa mwongozo wa biashara ya hapo TPA.
Kilichosainiwa na kupitishwa bungeni ni nini?
 
Ndugu upo?
Tanganyika imeuzwa kama kondoo uarabuni.
Umeona wamepeleka muswada bungeni kubadili sheria kusudi wamiliki kila kitu.
Nauliza tu ‘ Kwani wananchi ni uoga upole au kutokujali’
Kesi haiwezi kufunguliwa mahakama za East Africa?
Wabunge wanajua wanachofanya kweli?
Inaumiza mweh!
Uelewa ukiwa duni wa nini kinachoendelea, kuwaza kuibiwa ni kitu cha kawaida.
 
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.

Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.

Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.

Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Hujafanya utafiti basi usilopoke
 
Nini tofauti ya Agreement na mkataba?
Achana na huyo kilaza, hakuna upumbavu kama kuamini unajua kumbe hujui kitu. Kilaza wa namna hiyo ni kumuacha tu alivyo, eti framework, kama anavyodai huyo kilaza, nayo ilipelekwa bungeni kujadiliwa na kuridhiwa!
 
Walitudharau sana kutusainisha na Dubai
 
Attachments

  • IMG-20230704-WA0515.jpg
    IMG-20230704-WA0515.jpg
    21.2 KB · Views: 3
  • IMG-20230704-WA0389.jpg
    IMG-20230704-WA0389.jpg
    75.8 KB · Views: 3
Mleta mada kashiba mihogo basi unaharisha tu ujinga. Nchi ipo mbali ya hapo mjinga wewe.
 
Kumbe umesikia, nikajua umeziona
1.Shirika la posta,
2.misitu yote,
3.bandari na anga la Tanzania
4.uwanja wa ndege wa Kia unaweza kujazia
5.
6.
7.
8.
.
Huyu mama ana agenda ya Siri na rasilimali za Tanganyika.Hii no fursa adhimu kwa Zanzibar

Athari za katiba yetu ndiyo hizi.urais wa mserereko.

Isingetokea Tena mpemba au Muunguja kuja kuwa rais wa JMT.
.
 
Achana na huyo kilaza, hakuna upumbavu kama kuamini unajua kumbe hujui kitu. Kilaza wa namna hiyo ni kumuacha tu alivyo, eti framework, kama anavyodai huyo kilaza, nayo ilipelekwa bungeni kujadiliwa na kuridhiwa!
Makubaliano huwa chanzo cha mkataba kutiwa saini kati ya pande mbili. Wewe usiye kilaza mbona huji na hoja zako zenye kueleweka?.
 
Back
Top Bottom