Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Shivji nae kawaingiza watanzania chaka baya. Kaitafsiri IGA wakati biashara zinakwenda kufanyika kwa kupitia HGA zitakazoandikwa kati ya DW na wadau wa biashara za bandari.Kwamba wewe una uelewa wa sheria kuliko Shivji?Muda utaongea.
Uzuri pia tumeweka risiti ya hili.
Tafuta video ya Ashraf Khan yule mhindi mdau wa bandari utayagundua makosa ya Prof Shivji kwenye uchambuzi wake katika suala zima la bandari.