Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

Mkataba wa bandari ulivujishwa haikutakiwa watanzania wajue kuna umuhimu wa katiba mpya ipo siku ccm wataidai katiba mpya
 
Hii nchi bora tuuze kila mtu apewe chake tukaanzishe makazi mapya huko mwezini.
 
Usalama wa taifa fanyeni kazi yenu, maana hili taifa linachezewa, msikae kimya mtakuja kuulizwa.
 
Vijana wa ovyo
 
Ivi DP world hawajui kwamba Samira ni Rais wa mpito.
 
Sa100 kasaini vitu vingi sana, ila ilitakiwa viwekwe wazi. Na wanaojiita wawakilishi wa raia waache njaa wasinamie mali za Umma ipasavyo.
 
Hiyo ndio habari ya mjini.
Ukweli Kuna mambo nyingi zilisainiwa wakati wa ziara Yao.
Wizara husika waweke wazi hizi mikataba au makubaliano waTanzania tuelewane na kama kuhamia Burundi tuondoke mapema
 
Zinaitwa Memorandum of understanding(MoU) Kishwahili fasaha zinaitwa Hati za maridhiano na siyo hati za maelewano. Point of correction.
 
Mnatenda dhambi mbaya sana ya kupotosha taifa lenu. Mnatenda dhambi mbaya sana ya kumchonganisha Samia na watu anaowaongoza kwa nia tu za kuutaka urais wa JMT 2015.

Dhambi mbaya mnayoifanya mtakuja kuilipia siku moja isiyokuwa na jina wala isiyojulikana tarehe yake.
 
Naambiwa wanasubiri muda muafaka wapige kwenye mshono mbichi, jamani, hii nchi haitakalika tena.., wafanye kitu cha haraka kupooza hili joto, tusije kuingia kwenye machafuko
Hao wazee wa kuvujisha naamini mizigo yote wanayo ila sasa ndio hivyo wanasubiria muda muafaka waachie mikataba yote ya ovyo. Naona bora waachie pdf za ovyo zote mapema.

Nawaza tu, Je hao wazee wa kuvujisha wakilambishwa asali? Je Tutaona pdf la ovyo jingine?
 
Kuna Rais na kuna kiazi kilichorithi urais. Asimamie mirathi aende zake
 
Ili kuondosha uchonganishi, MOU ziwekwe mezani, shida nini ifichwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…