Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Je ndio mrithi ajaye baada ya huyu wa sasa aliyekaliwa kooni?
Itakua mistake of century kumuweka palamagamba kwenye high positjonJe ndio mrithi ajaye baada ya huyu wa sasa aliyekaliwa kooni?
Yote mawiliHizi zinavuja au zinavujishwa?
Kabudi hana maana kwa sababu analamba sana matako ya mabosi hadi anadhalilisha taaluma yakeJe ndio mrithi ajaye baada ya huyu wa sasa aliyekaliwa kooni?
nonsense 🐒Je ndio mrithi ajaye baada ya huyu wa sasa aliyekaliwa kooni?
Sisi wakina Tomaso tutaamini ukitokea mshindo mkuu. Hivi hivi tunaona usanii tu 😀Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Soma post yake mwenyeNitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Kule Instagram kuna barua imetolewa🐼
Kasome post yake Mwenyew IGKama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
Kasome post yake Mwenyew IG