Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu

Emmanuel Nchimbi ametangaza kustaafu siasa na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake ya leo, amesema amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan kumjulisha uamuzi huo, akieleza kuwa anatimiza ahadi aliyowahi kutoa kwamba siku Rais atakapohitaji Makamu mwingine wa Rais, angeachia nafasi hiyo.

Uamuzi huo utaanza kutekelezwa tarehe 4 Septemba 2026.

Ameishukuru Rais Samia, CCM na Watanzania kwa imani na ushirikiano waliompa katika utumishi wake, akisema ataendelea kuwa raia mwema wa Tanzania.
 
Nimeona kiongozi sema nilichogundua Samia hana aibu aibu tunaona sisi.Balaa gani hili
 
1000244153.jpg

Mnaoulizia screen shot hiyo hapo
 
Back
Top Bottom