StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
TusubiriUvumi ni mwingi labda kuna jambo yangu macho
TusubiriUvumi ni mwingi labda kuna jambo yangu macho
Kabisa💯Mambo Yao tuwachie wenyewe, Sisi tuendelee kumwombea Mh Lissu
Hatua inayofuata sasa ni SSH kujiuzuluKazi tunayo
Propaganda ndizo zilizoiozesha!Propaganda how? Nchi ilioza muda mkuu,
unataka kusemaje Robert?,, haya funguka tusiyo yajua ili tuyajue otherwise utakua na changamoto mahali😀😁😆😆
Kipima upepo kinasemaje kwani?
Kama nchi tulianza kutukanwa Mwinyi alivyokuwa rais,tukaja tukanwa kwa JK kuwa rais na huyu mama naye ni muendelezo wa matusi, hivyo hii nchi tumezoea kutukanwa.
🤣🤣🤣🤣🤣Izi mada ndio nazifataga huku jf, yani sina hela ila nafarijika nikisoma mitifuano ya hapa na pale
Ccm nao wanawaza sio wa kuwaaminiHakuna maigizo ya namna hiyo, hii vita ipo kweli na chanzo kikuu ni 2030
Watu wa Imani Fulani ni tatizoKama nchi tulianza kutukanwa Mwinyi alivyokuwa rais,tukaja tukanwa kwa JK kuwa rais na huyu mama naye ni muendelezo wa matusi, hivyo hii nchi tumezoea kutukanwa.
Umewatukana watu wenye taarifa zao unaongea kwa unyonge tu sasa.India insta ipo kama nusu saa hivi ilopita
Umewatukana watu wenye taarifa zao unaongea kwa unyonge tu.
NchimbiePost ya nani?
Kama Mimi tuIzi mada ndio nazifataga huku jf, yani sina hela ila nafarijika nikisoma mitifuano ya hapa na pale
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Nchimbie
[/QUOabout?
Nimeiona!
Ila usiiamini.
Labda kipima upepo.