Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

Lipo litakuja kiongozi wewe unaona mambo yetu yako sawa kweli?
Kila mtu anaona mambo hayako sawa ila mkuu matarajio hayo achana nayo ile October 29 2025 ndo ilikua sababu pale hakuna kilichotokea ndo kitokeee kwa nchimbi?. CCM kila sehemu wapo man mahakamani,wakuu wa vyombo nk hivi unajua hata uwe tu mkuu wa shule au chuo lazima uwe CCM sasa hapo unategemea unatoka wapi huo ukombozi?
 
Back
Top Bottom