Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

Upuuzi mtupu, ni kuukwepa upepo wa Lisu anayetowa elimu bure kwa umma.

Nimetumia masaa mawili kusoma utetezi wa Lisu kitu ambacho maboya wengi waliojaa Tanzania hawezi kutumia muda wote huo kusoma maelezo ya mtu.

Lisu ndio ajenda ya Taifa na si huo upuuzi wa kuokoteza.

VC na P ni team moja. Kama kuna mgawanyiko upo kimedani tuu na sio zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom