Hii ni account yake, ila yote haya ni maigizo ili akisimama 2030 wananchi muache kelele muone kama mmepata mtu alie upande wenu kumbe hakuna kitu.
haya sema tena Robert maana barua tayali hukoKama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
Muulize BritanicaJe ndio mrithi ajaye baada ya huyu wa sasa aliyekaliwa kooni?
Aaah, acha utani.Kama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
haya sema tena Robert maana barua tayali huko
Ingawa account ni ya kwake mkuu.Hivi mnamjuwa kweli Dr Nchimbi au ndio ili mradi tu midomo bwabwaja?
ile ni AI au account imedukuliwa?Bado naamini katika kauli yangu
ile ni AI au account imedukuliwa?
Hakuna maigizo ya namna hiyo, hii vita ipo kweli na chanzo kikuu ni 2030Hii ni account yake, ila yote haya ni maigizo ili akisimama 2030 wananchi muache kelele muone kama mmepata mtu alie upande wenu kumbe hakuna kitu.
imepostiwa kwenye account yake lakini tena iko verifiedKweli unaamini Makamu wa Rais anaweza kujiuzulu kupitia barua ya mtandaoni?😁😄😄
Propaganda how? Nchi ilioza muda mkuu,Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Dah nimeona nilikuwa sijaona.Kazi mbona tunayo sijui wanapanga jambo gani jinginePropaganda how? Nchi ilioza muda mkuu,
imepostiwa kwenye account yake lakini tena iko verified
Tunakuuliza wewe unatumia kiungo gani kufikiriKama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
kwanini nisiamini, labda ajitokeze kukanushaNawe umeamini?
kwanini nisiamini, labda ajitokeze kukanusha