Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Ok sawa inawezekana hata Maulidi kitenge nae hana taarifa sahihi naona kwenye media yake kaituma pia..Hiyo taarifa ya Instagram haimaanishi chochote mkuu
Ok sawa inawezekana hata Maulidi kitenge nae hana taarifa sahihi naona kwenye media yake kaituma pia..Hiyo taarifa ya Instagram haimaanishi chochote mkuu
Ok sawa inawezekana hata Maulidi kitenge nae hana taarifa sahihi naona kwenye media yake kaituma pia..
Kama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
Mnataka kujiuzuru kwa Waziri Mkuu TBC watangaze kweli basi tuendelee kulima tu aisee..Hata DW wameituma pia
Mkuu
Hao unao wataja ndiyo wanataka em-boy atetee walichofanya oktoba 2025.Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Mnataka kujiuzuru kwa Waziri Mkuu TBC watangaze kweli basi tuendelee kulima tu aisee..
Ushakuwa wa mwisho?Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Tunaomba usifute hii comment kima weweKama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
Kwamba? Acha nikae kimya tu.Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Wewe nae ni msengerema tuHivi mnamjuwa kweli Dr Nchimbi au ndio ili mradi tu midomo bwabwaja?
Ila we mjomba ni mbishi 😅Mkuu hakuna kitu kama hicho.
Msubiri msigwa
Tunaomba usifute hii comment kima wewe
Uamuzi wa mtu nae anasoma Mtandaoni kama wewe tu labda isiwe kweli..Mkuu hakuna kitu kama hicho.
Msubiri msigwa
Vyombo vingi vimeripoti hii habari.Kama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
Au sio?Kama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri
PumbavuKama kuna mtu anaamini Makamu atajiuzulu au kuuzulishwa basi anapaswa ajiulize anatumia kiungo gani kufikiri