The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Niwe mkweli, nilikua sijawahi kuendesha gari aina ya toyota crown na mbaya zaidi kwenye circle yangu hakukua na mtu anaemiliki toyota crown labda siku moja ingetokea by chance nikaiendesha.
Mimi binafsi preference ya magari yangu ni SUV kama Prado, Harrier ama Vanguard ambayo nimewahi kumiliki ama namiliki mojawapo ya hayo magari ya aina hiyo na ambayo wakati nakua, ndugu zangu ndio walikua wanamiliki ya aina hiyo.
Sasa juzi hapa kuna mshikaji wa ofisini alinunua toyota royal crown. Sio muda akapata safari ya kwenda bush kwao, sasa kwa kua anafahamu mazingira ya bush kwao, akasema crown itampa shida kule bush, angalau apate gari kubwa ya juu kidogo kuhimili mikiki mikiki ya bush. Akaniomba gari yangu atumie na aniachie ya kwake nitumie hadi atakaporudi.
Kweli, baada ya kubaki na crown nimeelewa kwa nini vijana wanazipenda, ni nzito, zinatulia barabani, zina stability kubwa na pia comfortability nzuri. Gari iko 150 lakini huhisi kama uko 150.
Kweli ni gari nzuri lakini mimi binafsi sizipendi sababu mimi ni mrefu, nikiingia ndani kichwa kinagonga kwenye roof, ni gari nzuri kwa average or below average size persons.
Naomba kukiri kua crown ni gari nzuri kwa upande wangu nimepata ladha yake nimeipenda ingawa siwezi kuinunua.