The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #21
Mkuu sio shida kama mtu unamuamini lakini pia vitu vidogo vidogo kama hivyo uliviwaza sana maisha yatakua magumu sana.Gari yangu haifiki kijijini barabara ni mbaya sana. Nitunzie yangu huku mjini kwenye lami nipe yako nikaue hayo mashokup na mabush huko porini.
Unampa mtu chombo kwa makubaliano akuharibu atatengeneza na ikiharibika pakubwa bima itatengeneza inakua haina shida kiongozi.
Tuishi kwa kuaminiana na kusaidiana mkuu.