Nimeelewa sababu ya vijana kupenda Toyota Crown

Miti ipi, crown ipo chini huwezi linganisha na SUV yoyote linapokuja suala la barabara zetu hizi. Na hiyo haimaanishi kuwa ni gari baya, hapana ni gari zuri sana ila ukiwa nayo ukatumia kama mtu mwenye SUV kila siku utaenda body. Na hapo ndipo thamani ya SUV inapoonekana.
Hizo Gari hua zinaenda kugonga miti barabarani itakua.
 
Miti ipi, crown ipo chini huwezi linganisha na SUV yoyote linapokuja suala la barabara zetu hizi. Na hiyo haimaanishi kuwa ni gari baya, hapana ni gari zuri sana ila ukiwa nayo ukatumia kama mtu mwenye SUV kila siku utaenda body. Na hapo ndipo thamani ya SUV inapoonekana.
Huko kutengeneza body unaendaga peke yako Nini mkuu?,Mbona saloon cars tunazo miaka na miaka na huko body hatwendi mkuu?
 
Labda urudie wewe kusoma hivi unaweza kuamini kwamba kipindi wewe unapenda body iwe juu mwingine anapenda performance and comfortability??
Rudia kusoma ili umquote aliyeiita hiyo gari takataka. Kuhusu performance na comfort nimesema mid SUV umuhimu na thamani yake ni kwamba ipo juu sijalinganisha perfonce na comfort. Kuhusu akipendacho mtu sio tatizo langu kama vile mapenzi yangu kwa aina ya gari nilitakalo lisivyo tatizo wengine.
 
Huko kutengeneza body unaendaga peke yako Nini mkuu?,Mbona saloon cars tunazo miaka na miaka na huko body hatwendi mkuu?
Mazingira uliyopo na unapoishi huenda ni rafiki sana.
Mm kwa sasa sina saloon, nina SUV. Ila wakati nipo na saloon mithili ya crown au kama ikitokea nikatumia, nikiwa barabara za rough sipo huru kama nikiwa na SUV maana zipo chini na saa yoyote nagusa bampa au kukwaruza. Kila wakati inabidi niende zigzag motion.
 
Mkuu nilishakua na Altezza kipindi flani na sikuwahi kuiwekea Spencer so ilikua chini sana,hizo zig zag nimepiga Sana lkn sikuwahi kuona hio life span ya body ikipungua.
 
Sasa hiyo effort uliyokuwa unatumia usiharibu body usingeitumia kama gari ipo juu. Ndo umuhimu wa SUV.

Hakuna haja ya kulibishia hili maana hata SUV ukiwa nalo utamiss vitu flani flani vya saloon. Sasa ni suala la unachotaka na ulichotayari kupoteza.
 
Kama una pesa bora uwe na gari zote SEDAN & SUV.
Na utabadilisha accordingly.
 
Sasa hiyo effort uliyokuwa unatumia usiharibu body usingeitumia kama gari ipo juu. Ndo umuhimu wa SUV.

Hakuna haja ya kulibishia hili maana hata SUV ukiwa nalo utamiss vitu flani flani vya saloon. Sasa ni suala la unachotaka na ulichotayari kupoteza.
Ninachopendea SUV kuna zile bumps za ghafla ambazo huzijui unazifukia at minimal damage.

Pale Sinza Mugabe kuna tuta nilikuwa sifahamu lipo, nikapita saa 8 usiku nipo speed 100. Nakuja shtuka gari imepaa ikatua mbele ya tuta.

Ningekuwa na sedan nina uhakika ningeishia kuua vitu vingi sana.

Sipendi sedan ila naheshimu wanaozipenda. Hata ikitokea nimeinunua itakuwa inakaa ndani muda mwingi kuliko kuendesha.
 
Ni gari flani hivi ukiwa offroad usiyoielewa basi muda wote akili ifanye hesabu kukwepa mashimo, miinuko mabonde.

Ni mahesabu tu, unawaza pale itabidi nile kushoto nirudi kulia halafu nifanye kama naibia hivi, ukienda m200 tena unawaza hapa nishuke taratiibu halafu nihakikishe tairi za mbele moja ipo juu nyingine chini, m100 tena unawaza hapa tairi ya nyuma inabidi niinyanyue nikikosea tu nang'oa bampa n.k n.

Halafu ukikaribia unapoenda ukajisahau ukaenda mbio kidogo ukakutana na shimo hujaliona unasikia tu ghrwyyyaaaassh, mlio fulani hivi wa kukuambia unaburuza bampa.
 
Back
Top Bottom