Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Kuwa makini na kijicho huko Kwimba, Sengerema, Bariadi, na mitaa kama hiyo huko, haukawii kubadilishiwa fisi na gari yako kupakiwa kichakani.
 
aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Dhihaka, Kiburi na Majivuno ni uelevu na ujanja kwa mjinga,
Wazazi wako hawakukupeleka shule ili uje utukane wazazi wa wenzako,
Jifunze kuwa na staha na uepuke majivuno, wapo watu wenye magari ya maana lakini huwezi kuta amekosa hekima kama wewe. Jifunze utu, jifunze hekima, jifunze kuheshimu wengine na kuwatahmni pia.
 
Kumbe Ni huko usweken. Njoo Dar uone magari ya walimu.
Wengine Wana miaka hawajachukua pesa benki wanaishi kwa pesa ya tuition.
Si wakejeli walimu ila ukweli ni kwamba Dar walimu wanaomilili magari ni wanawake,

Bila shaka hapo unajua anaewezesha hilo gari ni mumewe.
 
Katika sector ya ualimu ni ngumu kupiga pesa kinyemela ukilinganisha na sector zingine kwahyo usiwashangae walimu Bali tambua kuwa watumishi sector zingine wanamianya ya kuchepusha pesa kirahisi ndio maana unaona wanatembelea ma v8
 
Ata nature ya kazi yenyewe tu
Kazi ya kula vumbi la chaki, kukimbizana na wanafunzi mara kuchapa viboko
 
Sio kila akutazamaye akutamani ukishajua Hilo huwezi kujiproud kwa Jambo Kama hilo
 
Unamaanisha hao walimu hadi wanafika vyuoni hawajawahi kuyaona hayo magari??
 
Mwaandishi wa huu Uzi namfahamu vizuri tu. Yeye ni mwalimu wa shule ya msingi lakini hapendi watu wajue kuwa ni mwalimu. Kiufupi Hana gari Ila mwaka Jana ndo kanunua pilipiki. Ameshafurukuta ahame kada ya ualimu imeshindikana. Hadi Sasa ana mgogoro na mwajiri wake kwa sababu ya kutotimiza majukumu yake ya ualimu na kushinda ofisi za halmashauri akifuatilia suala Hilo la kubadili fani. Hakuna sehemu yoyote anayoweza kujitambulisha kuwa yeye ni mwalimu unless akutane na watu wanaomfahamu.
 
Nilikuwa nataka kununua subaru kumbe wamiliki hawana akili hivi aiseee let's go to vanguard aisee hata kama bei zake yard kwetu Mwanza ni 45M.
 
Na wewe ni mbwiga tu, Forester unavimba makwapa! Ukiwa, na cruiser mkonga, double cabin, au Infiniti QX80, au Escalade, GMC? Si utatukana mpaka baba mkwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…