St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Hii mada ni utabiri kuwa kizazi kinachokuja kitakuwa na uhaba mkubwa sana wa walimu kwa ngazi zote..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanashangaa huyu mshamba gani, anakuja na gari la kishambaSasa kama m40 haifiki walikua wanashangaa nn?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!
Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui
Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!
Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Wewe unayo?Mkuu hapo una Subaru mashauzi hivyo, ungekuwa na Rolls Royce tungepumua kweli?
Ninayo vx, trekta na bajaji, unasemaje?Magari ya walimu? Wayatoe wapi! Niletee mwalimu anaemiliki gari ata ya 20m nikupe mara mbili ya hiyo
Unajua nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!
Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui
Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!
Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Madam?Madam kosa langu ni nn?
Zipo shule za Sekondari kubwa, Zina Hela, wakuu wanatengeneza zaidi ya m100+ Kwa mwaka.Katika sector ya ualimu ni ngumu kupiga pesa kinyemela ukilinganisha na sector zingine kwahyo usiwashangae walimu Bali tambua kuwa watumishi sector zingine wanamianya ya kuchepusha pesa kirahisi ndio maana unaona wanatembelea ma v8
Mkuu ulikua magu, Karibu na ukumbi wa CCM? Niko sure Hukuwa makini Au hukuona gari zote Au nyingine hukujua Kama gari za walimu. Ile DCM ulijua Kwa kuwa imeandikwa Jina Nyamilama sek, zilikuwepo Subaru, kluger NK Tena Mpya kabisa namba EFJuzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!