Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Mpwayungu Village naona umekuja vingine
 
Mbona ni maskini wa kutupwa madam hujui unachokiongea
Wakope kwa security ipi? Mshahara? Madam madam chunga maneno yako
My sister kukaa kwako huko Kwimba Ni ushahidi tosha kwamba wewe Ni mshamba. Tafuta bwana wa mjini upunguze ushamba, hao wauza ng'ombe kwenye minada hawakutendei haki. Tafuta hata bwana wa kihaya.
 
My sister kukaa kwako huko Kwimba Ni ushahidi tosha kwamba wewe Ni mshamba. Tafuta bwana wa mjini upunguze ushamba, hao wauza ng'ombe kwenye minada hawakutendei haki. Tafuta hata bwana wa kihaya.
Mmeo yupo?? Asubui nilikuona unapita nae kwenda sokoni
 
Sisi trend. Readers na wenye kufanya maamuzi ya huko tuendako tunajua wazazi wengi watakuja tamani watoto wao wawe walimu!!

Upo "mpangokazi mezani nitakaokuja kuusimamia walimu watakua admired kwa society!!

Matokeo unayoyaona na makosa tulifanya kama taifa tulipowaruhusu watu fulani kushika strong hold ndipo dhahma ya elimu makaratasi ilipoanza na kudharaulika Hadi leo,wakawekeza mapesa mengi kulipa wanasiasa wasioziddi hata 5000 na kunyima kada zenye uweledi was kuwafikia wengi kama elim katika Taifa!!!

Subiri kwa ham!
ndoto nzuri, wacha tusubiri kwa hamu na gamu
 
Juzi nilimkosoa aliyekuwa anadharau PhD wakati nadhani hata first degree hana. Leo huyu nadhani ni wale waliofail STD Seven. Mtu aliyeingia madarasa hawezi kutukana ualimu maana tulicho nacho kimetokana na juhudi zao. Kwa bahati mbaya mfumo umewasahau.

Aidha unaelezwa kuwa uhalisia wa maendeleo katika nchi yoyote ni pale ambapo watoto wanazidi elimu na mali wazazi wao. Wakati ule ilikuwa ni Liberia katika Afrika pahala ambapo Wazazi walikuwa na elimu zaidi ya watoto wao (wakati wa vita). Kama wewe Edsger wybe Dijkstra aliyekufundisha darasa la kwanza akiwa na uwezo wa uchumi zaidi yako, basi hakuna maendeleo.
Umeandika vizuri sana.
 
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
walikuwepo wenye dharau kushinda ww..wameacha kila kitu na tumewafukia chini.ni vile tu uoni umebakiza siku ngapi za kuishi ndio maana kiburi cha uzima kinakusumbua
 
Sawa,serikali wainueni walimu ili wasipate fedheha kama hizi
Mkuu kuna kitu kingine nime notice , kwanza , sijawai ona wanawake warembo wanakua walimu . Yani dada mrembo ni heri qfanye kazi nyingine yenye kipato cha chini kuliko kuwa mwalimu.
Jambo lingine nime notice walimu wengi wa kiume wana visogo virefu. Hii imekaaje wadau?
 
Back
Top Bottom