Mwananfu wa kwanza, alikua anapenda sana kuwa mwalimu, nafikiri it was just out of lobe for mother na kwa vile ni mwalimu bas ukimuuliza alikua anapenda kusema nataka kuwa mwalimu😂.
She is a grown up now, dorm 2, naamini atakua anazid ku evolve kiakili when it comes to dream and ambitions, huwa hasemi tena anataka kuwa mwalimu.
Mimi nitam support kwa kkle anatakankuwa , by the way huwa napemda kuzungumza nao kwa habar ya maisha na skills za msingi za kuwa nazo regardless of your proffesion in life. Na huwa nawaambia one of the very important skills is ,you should master ni marketing and sales.. Jiweke tayar na jua namna utaweza geuza elimu yako kuwa bidhaa au huduma na uweze kuipa thaman na kuiuza. Regardless ni mwalimu au daktari.