Tatizo lako ni utoto, ushamba, ulimbukeni, uzoefu mdogo kwenye maisha na mwisho huna hekima hata kidogo. Hapo na hiyo Subaru yako unaona umemaliza maisha , na hao walimu ni wajinga, wavivu na washamba, time will.Juzi nilipita eneo flani kulikua na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!
Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine .aisee ayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui
Nikaangaza uku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu,wengine kwa li costa flani dcm limechoka kishenzi limetokea uko kwimba. mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa alafu chafu.aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana! Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!