Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Issue za walimu zipo kwenye dawati la Mpwayungu Village hakuna atakayekuja na jipya.

Tatizo langu ni huyu mwenye baby walker nayo anaona NI gari ya kuja kuongelea mbele ya wanaume?

Sasa angenunuwa Dungu Kwa Chris Lukosi si angemtukana mpaka Maxence Melo?
Umeongea makasiriko.

RUDI KWENYE POINT/HOJA, ualimu je??

#YNWA
 
Mtu ambaye anahesabu gari ni maendeleo ni wa kumuonea huruma tu.

Watu Wana maisha Bora na wanapanda train kwenda makazini.
Hahahahahaha kuna kipindi nilikua nafanya kazi za kujitolea FHI mradi wa Youth Net..na Ypeer ,Country manager wa FHI alikua anakuja Ofcn na Baiskeli..na jamaa alikuwa ana vuta kama USD 7000+ .
 
Juzi nilipita eneo flani kulikua na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine .aisee ayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza uku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu,wengine kwa li costa flani dcm limechoka kishenzi limetokea uko kwimba. mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa alafu chafu.aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana! Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Nikama hivi
1711432196385.jpg
1711432224604.jpg
1711432210174.jpg
1711432238821.jpg
1711432252879.jpg
1711432261635.jpg
 
Na sisi wamiliki wa magari tunajua wamiliki wa subaru huwa ni washamba sana.
Ukimpita mtu wa subaru barabarani ye akili yake huwa inawaza mnataka kushindana kuna mmoja nilimpita na Lc 300 series akataka kushindana kidogo apasue injin yani mmiliki wa subaru bora hata bodaboda wana akili
 
Back
Top Bottom