Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Hii mada ni utabiri kuwa kizazi kinachokuja kitakuwa na uhaba mkubwa sana wa walimu kwa ngazi zote..
 
Ungekuwa na vx, v8, siungewatemea hata mate
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unajua nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Humu jf kuna vituko sana umejua kunichekesha sana we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaaaah mtoa mada nimecheka balaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ushamba nao una level, Leo hii ukimchukua hata rais wa nchi ukimpeleka sehemu duniani basi atashangaa kama hao walimu, ni kawaida tu na Wala sioni ajabu Kwa Hilo la walimu na hata wewe sioni ajabu kwani hata watu waliotoka mataifa makubwa wakifika sehemu zetu huku hushangaa kuhusu vitu flani flani.
 
Katika sector ya ualimu ni ngumu kupiga pesa kinyemela ukilinganisha na sector zingine kwahyo usiwashangae walimu Bali tambua kuwa watumishi sector zingine wanamianya ya kuchepusha pesa kirahisi ndio maana unaona wanatembelea ma v8
Zipo shule za Sekondari kubwa, Zina Hela, wakuu wanatengeneza zaidi ya m100+ Kwa mwaka.
 
Mkuu ulikua magu, Karibu na ukumbi wa CCM? Niko sure Hukuwa makini Au hukuona gari zote Au nyingine hukujua Kama gari za walimu. Ile DCM ulijua Kwa kuwa imeandikwa Jina Nyamilama sek, zilikuwepo Subaru, kluger NK Tena Mpya kabisa namba EF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…