Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Umeongea makasiriko.

RUDI KWENYE POINT/HOJA, ualimu je??

#YNWA
 
Mtu ambaye anahesabu gari ni maendeleo ni wa kumuonea huruma tu.

Watu Wana maisha Bora na wanapanda train kwenda makazini.
Hahahahahaha kuna kipindi nilikua nafanya kazi za kujitolea FHI mradi wa Youth Net..na Ypeer ,Country manager wa FHI alikua anakuja Ofcn na Baiskeli..na jamaa alikuwa ana vuta kama USD 7000+ .
 
Nikama hivi
 
Na sisi wamiliki wa magari tunajua wamiliki wa subaru huwa ni washamba sana.
Ukimpita mtu wa subaru barabarani ye akili yake huwa inawaza mnataka kushindana kuna mmoja nilimpita na Lc 300 series akataka kushindana kidogo apasue injin yani mmiliki wa subaru bora hata bodaboda wana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…