Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Ahahahah..wajinga wajinga waalimu au wajinga wajinga kama mleta mada?
Wote mnaoshambulia hapa hayupo hata mmoja wenu ambae amewai kufikiria ualimu kama career choice yake au ata kuwahi kupendekeza kwa watoto au ndugu jamaa na rafiki zake kuwa walimu alafu mnajiongolesha apa kenge nyie
 
Unaweza kukuta jamaa anapost akiwa kwa shemeji yake. Kula mpaka akasalimie anayemgonga dada yake
 
Wewe jamaa badilika gari siyo ya kumtushia mtu Kwa sasa hasa hizo Subaru za M18.
Nyie ndo wale malimbukeni mnakulia kwenye funza na kunguni,mkipata viajira serikalini, mkajua kuiba mnadharau KULE mlikotokea mpaka na wazazi wenu wakija kuwasalimia mjini mnaona aibu kuwatambulisha kwa jamaa zenu.mnajifanya mmekulia town kumbe umekulia chaka.tuache ushamba.ushawahi kumuona MTOTO WA Azam humu ANASEMA akipaki watu wanamshangaa?unaijua THAMANI ya gari anayoendesha?Una baby walker au gari lichunguze Kwanza.
 
Mkuu sema ukweli toka moyoni,
Kama una mke na watt kuna mwanao yyte ambaye umewai kum suggestia ualima kama career yake ? Kuwa mkweli
Mwananfu wa kwanza, alikua anapenda sana kuwa mwalimu, nafikiri it was just out of lobe for mother na kwa vile ni mwalimu bas ukimuuliza alikua anapenda kusema nataka kuwa mwalimu😂.
She is a grown up now, dorm 2, naamini atakua anazid ku evolve kiakili when it comes to dream and ambitions, huwa hasemi tena anataka kuwa mwalimu.

Mimi nitam support kwa kkle anatakankuwa , by the way huwa napemda kuzungumza nao kwa habar ya maisha na skills za msingi za kuwa nazo regardless of your proffesion in life. Na huwa nawaambia one of the very important skills is ,you should master ni marketing and sales.. Jiweke tayar na jua namna utaweza geuza elimu yako kuwa bidhaa au huduma na uweze kuipa thaman na kuiuza. Regardless ni mwalimu au daktari.
 
Sijasoma comment hata moja lakini we jamaa ni mpuuzi
 
Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Hii imedhihirisha Chuki yako dhidi ya Teachers ingawa imenfanya nmecheka
 
Unafikiri ni kwann the more ana evolve kiakili anabadilika na ualimu unakua sio appealing tena kwake? Na sio yy tu this is true kwa watoto wengi sana .

 
Unafikiri ni kwann the more ana evolve kiakili anabadilika na ualimu unakua sio appealing tena kwake? Na sio yy tu this is true kwa watoto wengi sana .
Sio ualimu tu, hata uaskari.
Lakin kwangu hata kuwa daktari ni kitu nilikua nakichukia kama ambavyo wenfine wanauchukia ualimu
 
Unafikiri ni kwann the more ana evolve kiakili anabadilika na ualimu unakua sio appealing tena kwake? Na sio yy tu this is true kwa watoto wengi sana .
Jibu ni rahisi ana experience katika maisha yake vtu ambavyo vina serve kama viashiria kuwa ualimu is not the right career choice for a better future.kwa ku observe tu anaona maisha y walimu ya walimu yalivyo duni na hopeless. Simple !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…