Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambayo yamenisababisha msongo mkubwa wa moyo.
Kosa la kwanza kubwa sana na kushindwa kutumia nafasi wanazotengeza: Katika mashindano yote, Yanga ndiyo timu iliyokuwa inatengeza nafasi sana lakini wakizipoteza zote.
Kosa la pili ni kusindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri. Ingawa Yanga haikufungwa nyumbani, haitoshi kabisa kutoka droo nyumbani. Ule mchezo wa Al-Ahly pale Aman unanikosesha sana raha.