Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
1.5K views · 1.2K reactions | Ila robo fainali 🐸🐸😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 | Nestory Msekwa
Ila robo fainali 🐸🐸😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Sisi wenyewe yanga tulishaeleza waziwazi malengo yetu kwa mwaka huu ni makundi.Kwa sasa tunajenga timu,huwezi kuingia robo fainali kwa kununua wachezaji wa milioni 500,subiri mwakani tutasajili vizuri sanaIngawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambayo yamenisababisha msongo mkubwa wa moyo.
Kosa la kwanza kubwa sana na kushindwa kutumia nafasi wanazotengeza: Katika mashindano yote, Yanga ndiyo timu iliyokuwa inatengeza nafasi sana lakini wakizipoteza zote.
Kosa la pili ni kusindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri. Ingawa Yanga haikufungwa nyumbani, haitoshi kabisa kutoka droo nyumbani. Ule mchezo wa Al-Ahly pale Aman unanikosesha sana raha.
sasa ulitaka iende wap mara ya mwisho iliingia makundi ilikua ivi iki kuskilizia, timu bado ina kiwango kidogoIngawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambayo yamenisababisha msongo mkubwa wa moyo.
Kosa la kwanza kubwa sana na kushindwa kutumia nafasi wanazotengeza: Katika mashindano yote, Yanga ndiyo timu iliyokuwa inatengeza nafasi sana lakini wakizipoteza zote.
Kosa la pili ni kusindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri. Ingawa Yanga haikufungwa nyumbani, haitoshi kabisa kutoka droo nyumbani. Ule mchezo wa Al-Ahly pale Aman unanikosesha sana raha.
Mwaka juzi Yanga ilweknda robo fainali nusra ifike nusu fainali kama siyo kuonewa na refa. Mwaka jana Yanga ilianza vibaya kutokana na kocha kuwaachia wachezaji kulala kitambaa cheupe. Baada ya kufanya mabadiliko ya kocha, yanga ilifanya vizuri sana hadi kutoa goli la mwaka. Ila ule mwanzo mbaya ndio ulioifanya ikose point moja na kuishia njiani. Mwaka huu Yanga haikuwa na sababu yoyote. ni kosa tu la kushindwa kujilinda dhidi ya Al Ahly, na kosa hilo ndilo limenifadhaisha.sasa ulitaka iende wap mara ya mwisho iliingia makundi ilikua ivi iki kuskilizia, timu bado ina kiwango kidogo
mzee yanga ni timu ndogo, haina quality ya kusema ni tishio CAFMwaka juzi Yanga ilweknda robo fainali nusari ifike nusu fainali kama siyo kuonewa na refa. Mwaka janai Yanga ilianza vibaya kutokana na kocha kuwaachia wacheazaji kulala kitambaa cheupe. Baada ya kufanya mabadiliko ya kocha, yanga ilifanya vizuri sana hadi kutoa goli la mwaka. Ila ule mwanzo mbaya ndio ulioifanya ikose point moja na kuishia njiani. Mwaka huu Yanga haikuwa na sababu yoyote. ni kosa tu la kushindwa kujilinda dhidi ya Al Ahly, na kosa hilo ndilo limenifadhaisha.
Al ahly timu kubwa na ukiwafatilia mara zote wakiwa away lengo lao ni sare. Hata tungejilinda vhema kwenye ile kona bado wangepata tu nafasi ya kuchomoa lile goli.Mwaka juzi Yanga ilweknda robo fainali nusra ifike nusu fainali kama siyo kuonewa na refa. Mwaka jana Yanga ilianza vibaya kutokana na kocha kuwaachia wachezaji kulala kitambaa cheupe. Baada ya kufanya mabadiliko ya kocha, yanga ilifanya vizuri sana hadi kutoa goli la mwaka. Ila ule mwanzo mbaya ndio ulioifanya ikose point moja na kuishia njiani. Mwaka huu Yanga haikuwa na sababu yoyote. ni kosa tu la kushindwa kujilinda dhidi ya Al Ahly, na kosa hilo ndilo limenifadhaisha.