Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambay ymesiababisha msongo mkubwa wa moyo.
Kosa la kwanza kubwa sana na kushindwa kutumia nafasi wanazotengeza: Katika mashindano yote, Yanga ndiyo timu iliyokuwa inatengeza nafasi sana lakini wakizipoteza zote.
kosa la pili ni kusindwa kutumia iwanja wa nyumbani vizuri. Ingawa Yanga haikufungwa nyumbani, haitoshi kabisa kutoka droo nyumbani. Ule mchezo wa Al-Ahly pale Aman unanikosesha sana raha.
Kwangu mi baridi tu. Eng aache ujuaji na sifa. Aombe msamaha mashabiki aliotaka kutuhusisha na masiasa. Kuna watu bado hawajaachia kabisa
Calculator ilijam ghafla....
Calculator ilijam ghafla....
wameshinda njaa!
Na kweli jana hawa nyani wangepita tungepata usumbufu mwingi sana
Mwambie kisicho rizq hakiliki.
Wameingiza u-CCM kwenye timu, wangevuka hapo wangemsifia Samia bora walivyotolewa.Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambayo yamenisababisha msongo mkubwa wa moyo.
Kosa la kwanza kubwa sana na kushindwa kutumia nafasi wanazotengeza: Katika mashindano yote, Yanga ndiyo timu iliyokuwa inatengeza nafasi sana lakini wakizipoteza zote.
Kosa la pili ni kusindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri. Ingawa Yanga haikufungwa nyumbani, haitoshi kabisa kutoka droo nyumbani. Ule mchezo wa Al-Ahly pale Aman unanikosesha sana raha.
Mwambie unaweza kuoga ila mjini usiende
Mwambie unaweza kuoga ila mjini usiende
Mwambie kisicho rizq hakiliki.
Na kweli jana hawa nyani wangepita tungepata usumbufu mwingi sana