Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

God bless you.
 
Kwa heshima na tadhima. Mungu akuzidishie ulipojitoa kaka.
Na mimi natamano kufanya hivyo siku mambo yakikaa vizuri
 
Hongera sana Mkuu kwa moyo huu wa kumsaidia binadamu mwenzio na kumnyanyua kimaisha. Mwenyezi Mungu akuzidishie wewe na familia yako.

Nilidhani ni story nyingine jana stories za kila mara za ME kumla beki tatu au kufikiria kumla baada ya kula vizuri na soap soap 🧼 njemba inamtamani kwa kuwa amependeza.

Big up Mkuu πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

 
Hongera ubarikiwe wewe ni mtu mwenye utu, wadada wengi wakazi hutumikishwa na kuteswa na kutumia kingono,na kuteswa, Bora wewe ulichagua fungu jema Mungu atakulindia wanao aisee na atawafanyia upesi kwa mengi.
Amina.
 
Ahsante sana mkuu
 
Reactions: BAK
Mkuu watu wenye roho kama ya kwako ni wachache wengne wangeshamla kabsa alaf wanampitisha hvi
 
Hayo mdo mambo mkuu usiachie tunda hlo ukioa beki3 aisee uta enjoy maana umepata wife mchapakaz hana majivuno yan ata akijua una mchepuko yeye atakwambia tu naomba usisahau kuwahudumia watoto [emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji109]

Big up kwenu beki namba 3 Jordi Alba
 
Hongera sana kaka pamoja na mkeo, mwenyezi Mungu atazidi kuwalipa kwa tendo jema mliomfanyia huyo dada wa kazi.
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…