Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

Hongera kwako pia.
Kama haya mawazo ni ya beki3 ina maana hata wewe bosi wako anakutunza vizuri na anastahili pongezi lol!!

..Wasaidizi wa ndani wanatumikishwa kitumwa kiasi kwamba hata wao wenyewe wanajidharau na kutokukua kiakili.
Wengi wao ni ndani tu muda wote, hawapewi nafasi ya kujua dunia inaendaje.
Hata kuangalia tv ni mpaka basi wake aondoke na hapo wanaishia kuangalia bongo muvi na tamthilia nyinginezo.
Kwa asilimia kubwa Ubeki3 ni utumwa ndani ya jamii huru.

Ila shida ya bek 3 ulisema umzoee Kama mdogo wako nayo shida ..mie huez jua huyu ni bek 3! .sema unamkuta anakupanda kichwani vby mno...!ah maisha haya
 
Wema ni akiba,naamini ulichokifanya tyar umepanda mbegu na wakati wowote utavuna
 
Hongera sana kama ni kweli
Utabarikiwa mpaka kizazi cha tatu

💕💕💕💕💕
 
Habari zenu nyote,

Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.

Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.

Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.

Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.

Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.

Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.

Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.

Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.

Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.

Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Huwenda mungu alikulipa sana kwa uliomtendea huyo bint lkn kuja kusimulia huku tayali mungu ameshafuta mema yooote aliokulipa ambayo ulimfanyia huyo binti,hakuna jambo jema kama kumafanyia mtu wema kisha ukakaa kimya unapata fadhila nyingi sana kwa mwenyezi mungu
 
Habari zenu nyote,

Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.

Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.

Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.

Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.

Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.

Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.

Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.

Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.

Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.

Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Hakika mmejiweka hazina mbinguni...Hili ni darasa zuri kwetu,mbarikiwe sana
 
Uenda ni mchawi kweli sio kwa ile roho mbaya yake
Labda wewe hausomeki maana kila siku wababa wanakula mabeki tatu, wasiwasi ndiyo akili ujue! Kama hakuna mazonge zonge yeyote ambayo ulishawahi yafanya naye hawezi kuwa mgumu hivyo, hamuamiki ila simsemei ila wapo wengi sana
 
nakupongeza mkuu kwa Jambo hili. na Mimi umenifundisha Jambo nikipata nafasi nitafanya Kama wewe.

Asante Sana.

Kuna mashetani huwa yanawageuza watoto wa watu Kama watumwa, kazi kibao huku mshahara mdogo Sana mengine yanawabaka kabisa walaaniwe kwa kweli
Wamama Mashetani na je wababa wanao wabaka au tuseme kutembea nao utawaita vipi!
 
sijataja wamama au wababa pekee . Bali nimesema wote kwa pamoja.
 
Habari zenu nyote,

Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.

Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.

Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.

Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.

Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.

Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.

Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.

Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.

Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.

Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Mkuu umetenda mema sana sana, Mungu akubariki
 
Ila shida ya bek 3 ulisema umzoee Kama mdogo wako nayo shida ..mie huez jua huyu ni bek 3! .sema unamkuta anakupanda kichwani vby mno...!ah maisha haya
Wifi yangu alikuwa naye ukifika pale utajua mdogo wao, si akaota mapembe akaanza jeuri kama sasa yeye mwenye nyumba [emoji3][emoji3] kila kitu anajipangia yeye, mmm waliishia kutimuana
 
sijataja wamama au wababa pekee . Bali nimesema wote kwa pamoja.
Hapo sawa, unajua wakati mwingine unaweza mchukulia vizuri lakini sasa yeye mmm, nikuomba tu Mungu umpate ambaye mtaenda sawa, wapo mpaka wanaroga kabisa maboss zao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hongera mkuu ni watu wachache sana wenye kaliba kama yako. bahati ilio njema jambo hili ulilotenda halitapita hivi hivi asante mno.
 
Hapo sawa, unajua wakati mwingine unaweza mchukulia vizuri lakini sasa yeye mmm, nikuomba tu Mungu umpate ambaye mtaenda sawa, wapo mpaka wanaroga kabisa maboss zao [emoji23][emoji23][emoji23]
hii ni kweli wengine wanapindua meza kabisa.iwe wa kiume anamla mama Mwenye nyumba au wa kike analiwa na baba Mwenye nyumba koasi familia inavurugika Vibaya Sana.
 
Jifikirie una matatizo gani mpaka ukimbiwe na madada wa kazi?
Sio kukimbiwa mkuu, wawili waliolewa na wengine wanazo ratiba za maisha yao ambazo huwezi wazuia wanapotaka kuondoka. Pia mshahara, anaamua kwenda kwenye maslahi makubwa zaidi, huwezi kuzuia, ni haki yake. So, msichana wa kazi kuondoka haimaanishi kuwa umemtendea ubaya
 
Ok. Good. Mungu akubariki kwa msaada mzuri. Swali. Sasa unamwingine, naye utamfanyia naye hivyo hivyo au yule alikuwa special case?

Ulivyo wabana wife na ndugu wawe wanamsaidia kazi zake hawakuuliza basi walimhitaji wa kazi gani kama kazi watafanya wao au uliajiri mwingine wa kumsaidia kazi?

Na hao ndugu wengine uliowataja kwa nini hukuwasaidia ili wawahi kuondoka kwako ili ubaki na wife au umeridhika waendelee kubaki kwako?

Finally, usisahau na kutimiza ndoto za wife na the next beki tatu acha boss wake awe ni mkeo. Utamtatiza wife sana na competition ya ma bek 3.

Sio kwa ubaya ila ni vuzuri pia tuchunguze nyuma ya pazia kama mambo ni shwari.
 
Wifi yangu alikuwa naye ukifika pale utajua mdogo wao, si akaota mapembe akaanza jeuri kama sasa yeye mwenye nyumba [emoji3][emoji3] kila kitu anajipangia yeye, mmm waliishia kutimuana

Umeandika nilichotaka kuielezea...mie wangu alikua akiona ratiba unasoma maharage ananuna hatari....bas DStv ikate mnuno..unamkosesa matamthilia ! yake...khaa!
 
Back
Top Bottom