Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemuoa?? kuna mama mmoja naye nfugu yangu ni mkali balaa kwa house girls yaani karibu kila siku lazima awafokee.kuna house girl alikaa week moja tu akaomba kuondokaHongera mkuu lakini nampa pongezi nyingi kwa mkeo ni mvumilivu na muelewa
ange kua mke wangu hakiamungu asinge weza kumruhusu kusoma kamwe angemuwekea vitimbi paka ashindwe Yule mama Ana roho mbaya sijapata kuona
kuna siku nilimnunua Dada wa kazi ndala mpya aka myanyanganya akmpa kuu, yani msichana akijitahidi sana anadumu miezi mitatu tu......yani Yule mwana mke nilisha mchoka sema tu ni mezaa nae sina jinsi
Wewe wasemaKukuajiri wewe, walai tutaishia kuwekana mimba🍒😃😃
Imagine nikiwa house boy kwa hiyo nyumba??Mimi mwenyewe beki3 mkuu! Kama itakupendeza naomba 300,000/ - nimnunulie mama kiwanja!
Ukishindwa naomba 30000/-
Ulimchukuliaje wife wako then??Mungu awabariki sana Mkuu.
Kuna mmoja tulidumu Naye miaka miwili nilitamani sana kumpeleka akajiongeze kielimu. Nilipowasilisha hilo wazo kwa mwenzangu nilikubaliwa vizuri kabisa.
Haikupita miezi miwili Binti akaaga ghafla kurudi kwao.. Baada ya kama mwezi hivi nikakutana na Shangazi yake, ndiyo akanipa michapo kwamba Binti alishangaa ameanza kuchukiwa ghafla na "Dadake" mpaka akadiriki kumwambia anahisi kuna mahusiano Baina yetu, akajionea bora tu ajirudie makwao..
Mara nyingi wanawake hutumia hisia katika kufanya maamuzi yao. Tusiwalaumu kwa hili ingawajeMaamuzi mengine unatakiwa uyafanye wewe kama wewe, wewe kama kichwa cha familia.
Wanawake sio wa kuwaamini sana, maana wengi wao huwa hawatumii akili kufanya maamuzi.
Kama huyo wako, baada ya kumpa wazo kitu cha kwanza kilicho mjia akilini ni kwamba unamla huyo binti...
Badala ya kuwaza kuwa unamsaidia huyo msichana yeye kawaza "mapenzi/ngono".
Which is very stupid.
Pole mkuu kwa kupata mwanamke wa hovyo namna hiyoHongera mkuu lakini nampa pongezi nyingi kwa mkeo ni mvumilivu na muelewa
ange kua mke wangu hakiamungu asinge weza kumruhusu kusoma kamwe angemuwekea vitimbi paka ashindwe Yule mama Ana roho mbaya sijapata kuona
kuna siku nilimnunua Dada wa kazi ndala mpya aka myanyanganya akmpa kuu, yani msichana akijitahidi sana anadumu miezi mitatu tu......yani Yule mwana mke nilisha mchoka sema tu ni mezaa nae sina jinsi
Hongera sana. Allah akulipe badala. Ni wachache sana watu wa aina yako!Habari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.
Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.
Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.
Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.
Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.
Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.
Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.
Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Nafurahi sana kuona watu wenye "roho kama yangu" Bado mpo, kiukweli, huwa naumia sana kuona mtoto wa ndani anateseka. Yamkini ni jinsi nilivyoteswa utotoni.Habari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.
Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.
Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.
Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.
Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.
Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.
Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.
Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Na mm naomba niwe gardener wako niliishia la nne b kama na itakupendeza mkuu wangu unipeleke kusomea kilimo cha umwagiliaji Israel.
Mimi mwenyewe beki3 mkuu! Kama itakupendeza naomba 300,000/ - nimnunulie mama kiwanja!
Ukishindwa naomba 30000/-