Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

Mungu awabariki sana Mkuu.

Kuna mmoja tulidumu Naye miaka miwili nilitamani sana kumpeleka akajiongeze kielimu. Nilipowasilisha hilo wazo kwa mwenzangu nilikubaliwa vizuri kabisa.

Haikupita miezi miwili Binti akaaga ghafla kurudi kwao.. Baada ya kama mwezi hivi nikakutana na Shangazi yake, ndiyo akanipa michapo kwamba Binti alishangaa ameanza kuchukiwa ghafla na "Dadake" mpaka akadiriki kumwambia anahisi kuna mahusiano Baina yetu, akajionea bora tu ajirudie makwao..

Maamuzi mengine unatakiwa uyafanye wewe kama wewe, wewe kama kichwa cha familia.

Wanawake sio wa kuwaamini sana, maana wengi wao huwa hawatumii akili kufanya maamuzi.

Kama huyo wako, baada ya kumpa wazo kitu cha kwanza kilicho mjia akilini ni kwamba unamla huyo binti...

Badala ya kuwaza kuwa unamsaidia huyo msichana yeye kawaza "mapenzi/ngono".

Which is very stupid.
 
Hongera mkuu lakini nampa pongezi nyingi kwa mkeo ni mvumilivu na muelewa

ange kua mke wangu hakiamungu asinge weza kumruhusu kusoma kamwe angemuwekea vitimbi paka ashindwe Yule mama Ana roho mbaya sijapata kuona

kuna siku nilimnunua Dada wa kazi ndala mpya aka myanyanganya akmpa kuu, yani msichana akijitahidi sana anadumu miezi mitatu tu......yani Yule mwana mke nilisha mchoka sema tu ni mezaa nae sina jinsi
 
Mkuu usemayo ni Kweli kabisa hata kwangu haikuwa kazi rahisi, Kuna mda ilibidi nitumie uanaume wangu.

Lakini baadae ilibidi akubaliane na msimamo wangu
 
Huu ndio ubinaadam sio wengne wanawanyandua watoto wadogo, wanawatoa mimba then wanawaacha wanahangaika.
 
Hongera mkuu...

Kidogo kiutu utu cha kuazima ninacho ila sasa najiuliza hivi mimi ningewezaje kumsaidia yote hayo halafu nisimnaniliu..😅

Kweli malaika wa bwana bado mpo..
 
Huu ndio ubinaadam sio wengne wanawanyandua watoto wadogo, wanawatoa mimba then wanawaacha wanahangaika.
Yani anageuza dada wa kazi mke Tena mdogo, ama kweli dunia hii bado Kuna watu wema
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hongera mkuu lakini nampa pongezi nyingi kwa mkeo ni mvumilivu na muelewa

ange kua mke wangu hakiamungu asinge weza kumruhusu kusoma kamwe angemuwekea vitimbi paka ashindwe Yule mama Ana roho mbaya sijapata kuona

kuna siku nilimnunua Dada wa kazi ndala mpya aka myanyanganya akmpa kuu, yani msichana akijitahidi sana anadumu miezi mitatu tu......yani Yule mwana mke nilisha mchoka sema tu ni mezaa nae sina jinsi
Mke wako ni mchawi kwa hyo roho dada wa kazi naye ni binadamu kwanini umnyanyase hivo
 
It inspire me kuna ambaye ninaye hapa kwangu natamani afike mbali awe na vingi nitajitahidi kutimiza ndoto yake moja wapo japo sijawahi kumuuliza anataka nini? Naplan huyu mwanangu mdogo akitembea tu nimwezeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wabakaji wa ma house girl..
Kwa uzi, huu wana scroll up na kupotea.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nakuomba nije kwako niwe houseboy jamani bure kabisa napenda kusomea masters ya computer science
 
Back
Top Bottom