Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa wapo wamama hawana shida sasa hawa wadada mtihani, ndugu tu anakuhenyesha mpaka unajutaWengine huenda kuroga, wengine vivuruge tu
Muda wote huo huyo ni ndugu kabisa, hongera sana! Kuna mtu unakaa naye mnakuwa vizuri kushinda hata ndugu yako wadamu, hongera sanaPongezi nyingi sana
Ukweli ukiwatendea hawa vyema umebarikiwa mno. Shuhuda wangu Nina kijana wa shamba nilichukua toka 2004 na sasa ni baba wa familia ambaye anajitegemea akiwa bado kwangu shamba nikiwa nimewawezesha mke fundi cherehani na yeye kulima wa mboga na kuuza maji ya bomba nilimuunganisha ili apate kipato. Kuwawezesha ununuzi wa shamba huko Bagamoyo. Wanajikusanya kujenga nyumba yao na ninaamini nitawasaidia. Kupitia kwake huko tumekuwa familia
Safi sana mkuu Mungu akubarikiHabari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.
Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.
Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.
Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.
Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.
Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.
Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.
Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Angalikuwa rikiboy na timu yake ovu wangemtafuna kimasihara na kuleta mrejesho kwenye kambi yao chafu uzi wa wakubwa. Ningeweka hapa kieleelzo ila Sina connectionHabari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.
Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.
Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.
Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.
Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.
Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.
Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.
Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Aiseee.... Hongera Sana mkuu. Wewe ni binadamu wa kipekee Sana na Nina uhakika toka ulipoanza kumhudumia na kumchukulia kma ndugu yako nachelea kusema hujawahi kukwama au kutatizika kikubwa katika uchumi wako. Wakati mwingine, mema tunayotenda kwa ajili ya wengine huwa mtaji wa neema, baraka na fadhila za Mwenyezi Mungu katika maisha yetu ya kila siku.Habari zenu nyote,
Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi.
Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii kazi ambayo mshahara kwa huo mwaka tulikubaliana elfu 30.
Baada ya kukaa nae kwangu, ndugu niliokuwa nakaa nao akiwemo mke niligundua hali ambayo sio nzuri ya kumtumikisha kazi nyingi zinazomzidi umri wake na zingine zingewezwa kufanywa na wao.
Nilizungumza nao na nashukuru walinielewa na wakawa wanamchukulia Kama mdogo wao na hata utambulisho wake kwa wageni haukuwa tena mfanyakazi wa ndani bali mdogo wetu.
Nilimshurikisha mke wangu juu ya kumuendeleza huyu binti na tulipomuuliza nini anapenda kujifunza, alitujibu anahitaji kuwa mshonaji wa nguo.
Tulimtafutia chuo akasoma mwaka mmoja hapo baadae tukamhamishia VETA kwa ajili ya ujuzi zaidi wa mafunzo hayo kwa mwaka mwongine, Alipomaliza aliomba kuendelea na fani nyingine ya urembo na upambaji hapohapo VETA tukamlipia na alimaliza vema.
Baada ya kumaliza tulimnunulia vyerehani viwili kwa kutumia pesa yake ya mshahara tuliyokuwa tunamtunzia na kuongezea ilipopungua na kumlipia frem kwa miezi 6 pamoja na kumuwekea vitenge na vitambaa kidogo kwenye frem akaanza kushona huku akiwa anakaa kwangu kwa miezi miwili.
Baada ya kumchunguza na kuona akili yake imekomaa, tukampangishia chumba cha 30k kwa miezi 4 akahamia na vyombo kidogo.
Nafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Hili ni Jambo la kujivunia kwangu kuona maisha yake yamebadilika.
Uenda ni mchawi kweli sio kwa ile roho mbaya yakeMke wako ni mchawi kwa hyo roho dada wa kazi naye ni binadamu kwanini umnyanyase hivo
[emoji871] Mungu akufanyie wepesi mkuu, pole sanaHongera mkuu lakini nampa pongezi nyingi kwa mkeo ni mvumilivu na muelewa
ange kua mke wangu hakiamungu asinge weza kumruhusu kusoma kamwe angemuwekea vitimbi paka ashindwe Yule mama Ana roho mbaya sijapata kuona
kuna siku nilimnunua Dada wa kazi ndala mpya aka myanyanganya akmpa kuu, yani msichana akijitahidi sana anadumu miezi mitatu tu......yani Yule mwana mke nilisha mchoka sema tu ni mezaa nae sina jinsi
Yani Hadi ndala anaumia huyo ana roho ya umaskini asije akawafundisha wanaweUenda ni mchawi kweli sio kwa ile roho mbaya yake
Mkuu barikiwa na wewe piaPongezi nyingi sana
Ukweli ukiwatendea hawa vyema umebarikiwa mno. Shuhuda wangu Nina kijana wa shamba nilichukua toka 2004 na sasa ni baba wa familia ambaye anajitegemea akiwa bado kwangu shamba nikiwa nimewawezesha mke fundi cherehani na yeye kulima wa mboga na kuuza maji ya bomba nilimuunganisha ili apate kipato. Kuwawezesha ununuzi wa shamba huko Bagamoyo. Wanajikusanya kujenga nyumba yao na ninaamini nitawasaidia. Kupitia kwake huko tumekuwa familia
Ahsante mkuu ila watoto wakifika 12yrs lazima nitafute wife mgine siko tayari kuishi maisha us kusononeka siku zote[emoji871] Mungu akufanyie wepesi mkuu, pole sana
Duu pole sana, unaongea mpaka kwa uchungu duuHongera mkuu lakini nampa pongezi nyingi kwa mkeo ni mvumilivu na muelewa