Mwamba hana habari anapiga nyama choma na biaKama hiki mkuu!View attachment 1945565
Binafsi red naweza acha ila white nehi! Niache sangara na kuhe?Mkuu umeacha Nyama zote read & white
KonyagiMbadala wake ni upi mzee?
Kumbuka wengine tuko tinde kwenye majaruba ya mpunga,kula ugali size ya ngumi ni matusi makubwa,au unadhani wote tuko mjiniKweli mkuu ila tunatakiwa kula kwa kiasi. Ukubwa wa ugali inabidi iwe saizi ya ngumi yako. Sisi tunakula ugali mkubwa kiasi kwamba mtu aliyekaa upande wa pili humuoni. Tunakula ugali huku tumevua shati kuhakikisha ugali unaisha. Tunatakiwa tule ugali kidogo ila mbogamboga na matunda kwa wingi.
Asante mkuu kwa ushuhuda huu. Utasaidia wengiMimi ni shahidi wa hili mzee wangu amefanikiwa kubalance sukari kutoka 22 Hadi 6 kwa kuacha kula wanga tu anatumia mbogamboga matunda na aina zote za protein. Ni kweli tumedanganywa sanaa
Kuacha kwake sio rahisi kama wewe unavyofikiria,uraibu wa soda ukikuingia hauna tofauti na ule wa pombe...You can't be serious ati kuacha soda ni zoezi gumu..π
Hichi mbona kitu rahisi sana, mkuu Kama kuacha soda mpaka upambane vipi uraibu wa pombe je..? Punyeto vipi..?
Mkuu jitahidi uache aisee mi kinywaji Cha kiwandani nilichobakiza sahivi ni grand malt hii sidhani Kama nitaiacha japo huwa siinywi Mara kwa Mara..π
kwa sasa sukari yako umepima ikoje?Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zote baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.
Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najihisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Aaaah, hapo ni sawa kama unaumwa ni haki yako kuviacha! Nilifikri umeacha hivi hivi tu!Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zote baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.
Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najihisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Usifanye mchezo kuacha ulevi wa sukari.You can't be serious ati kuacha soda ni zoezi gumu..π
Hichi mbona kitu rahisi sana, mkuu Kama kuacha soda mpaka upambane vipi uraibu wa pombe je..? Punyeto vipi..?
Mkuu jitahidi uache aisee mi kinywaji Cha kiwandani nilichobakiza sahivi ni grand malt hii sidhani Kama nitaiacha japo huwa siinywi Mara kwa Mara..π
Ishu afya si kuishi milele, ukiambiwa uishi milele huku una maradhi chungumzima utafurahia hayo maisha?Hivi mkiacha hivi vitu mtaishi milele.
Aisee Sina huu ulevi sukari si shida kwangu! Yani mi nashangaa sukari inaulevi gani mpk iwe ngumu kuacha! πUsifanye mchezo kuacha ulevi wa sukari.
Hata matunda yana sukari hivyo hata hizo juice za matunda nyumbani si salama sana kunywa kwa wingi kwa baadhi ya watu.Soda sinywi juice ya kutengeneza nyumbani nakunywa ambayo haina sukari ...pepo limebaki kwenye gambee hii kitu kuacha nimeshindwa acha niendelee kunywa
Maji ya kunywaMbadala wake ni upi mzee?
Yule Prof Janabi alisema ni hatari Sana kunywa juice zilizochanganywa na matunda mbalimbali maana kila tunda Lina sukari yake kwa kiwango tofauti tofauti.Hata matunda yana sukari hivyo hata hizo juice za matunda nyumbani si salama sana kunywa kwa wingi kwa baadhi ya watu.
Ni kwa sababu labda hauna huo ulevi ni sawa na ambaye si mnywaji wa pombe anavyomuona mlevi ila ulevi wa sukari ni mbaya kuliko unavyofikiri na ubaya sukari haipo tu kwenye soda juice au chai pekee. Tafuta kitabu kimoja kinaitwa Suicide by sugar humo utaelewa hatari ya hii kitu.Aisee Sina huu ulevi sukari si shida kwangu! Yani mi nashangaa sukari inaulevi gani mpk iwe ngumu kuacha! π