Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,511
Reaction score
4,369
Tanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
 
Ok matter of time utadakwa, now kila kitu kipo kwenye system ukipata ajila kuna kitu kinaitwa vetting wanachukua copy wanapeleka makao makuu ya utumishi kule wanaangalia je vyeti ni vyako kwenye kila taasisi uliyopita utadakwa apo ......

Michezo ya zamani iyo..
 
Kwa sasa unajiona bonge la bwana na bonge la mjanja...

Baadae ukidakwa, ukifunguliwa kesi ya kufoji NYARAKA za serikali na ukafutwa kazi utakuja kutukana hapa kwamba unaonewa sana, utadai kwamba watu hawapo fair kabisa hapa duniani na utaplay victim card kudai umeonewa mno.

So far nakutakia kila lakheri, omba tu usije kudakwa mkuu......

NB
Ni suala la muda tu lazima utakamatwa unless kama unatokea familia yenye watu wazito huko juu kwenye maamuzi.
 
Tanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Bill aibu unakuja kujisifia ujinga
We falaa tu🖕🖕🖕
 
Yaani kama umepata kazi fanya tu
Hawa wengine ni wivu tu unawasumbua
Dunia haipo fair
Ukipata upenyo tumia hata ky mpaka upite
 
Tanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Ngoja wakague mafaili watakulamba tu
 
Yaani kama umepata kazi fanya tu
Hawa wengine ni wivu tu unawasumbua
Dunia haipo fair
Ukipata upenyo tumia hata ky mpaka upite
Dunia haipo fair, hili nimethibitisha
 
Kwa hiz kazi wanavyotishia vyeti vinakaguliwa utumishi halmashauri na vinahakikiwa Tena sijui Baraza huko.
 
Back
Top Bottom