Acha mara moja upuuzi huo. SIku ukiajiriwa vyeti vyako vitakuwa verified, baada ya hapo watakudaka. CPA gani fala hiviTanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Tangazo lako limekaa kitaalamu sana.Tanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
ChaiTanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
JipambanieIla maisha hayako fair,wengine tunapambana na utumishi kila siku,ila nyie wenzetu mnateleza tu.
Acha wivu wa kike,hao wapuuzi wanaowabia mabilioni ya shilingi huwaoni kenge wewe?Acha mara moja upuuzi huo. SIku ukiajiriwa vyeti vyako vitakuwa verified, baada ya hapo watakudaka. CPA gani fala hivi
Tafuta maandazi unyweChai
Matokeo tu ndo yamerekebishwa mkuuUmerekebisha vyeti Ila kichwa umebakisha kile kile!
Unajua kusoma kweli,wapi nimesema nimefoji necta?Jisalimishe NECTA
Jamaa hapo amekwambia vizuri sana, umerekebisha GPA lakini bahati mbaya kichwa chako bado kimebaki na makamasiAcha wivu wa kike,hao wapuuzi wanaowabia mabilioni ya shilingi huwaoni kenge wewe?
Jamaa kibao wako sehemu nyeti hawajadakwa mwaka wa 20 huu.Kwa sasa unajiona bonge la bwana na bonge la mjanja...
Baadae ukidakwa, ukifunguliwa kesi ya kufoji NYARAKA za serikali na ukafutwa kazi utakuja kutukana hapa kwamba unaonewa sana, utadai kwamba watu hawapo fair kabisa hapa duniani na utaplay victim card kudai umeonewa mno.
So far nakutakia kila lakheri, omba tu usije kudakwa mkuu......
NB
Ni suala la muda tu lazima utakamatwa unless kama unatokea familia yenye watu wazito huko juu kwenye maamuzi.
Makamasi unayo wewe na yeye mkuu.sio tabuJamaa hapo amekwambia vizuri sana, umerekebisha GPA lakini bahati mbaya kichwa chako bado kimebaki na makamasi
Lete bichwa lako tulipenge makamasi hayoMakamasi unayo wewe na yeye mkuu.sio tabu
Nahisi anamchomea mtu mwingine aliyefanya hivyo.Kosa sio kufoji kosa lako ni kutangaza.....hapa umeharibu
Shida unazo wewe mama angu kipenziLete bichwa lako tulipenge makamasi hayo
yaani huna akili kabisa cheti feki cha cpa unakamatwa mara moja na nbaaTanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Duh,..kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
wanatafutwa watu wa kupigwa hapa mkuu, mjini shule.Kosa sio kufoji kosa lako ni kutangaza.....hapa umeharibu